Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,520
- 1,504
Pesa ndugu,tunasajiri kulingana na kipato chetu kinavyoruhusuKwa kweli timu ya Yanga bado sana. Usajili mlioufanya hauna tija. Sajilini wachezaji wenye uwezo.
Wachezaji kama wakina Ngassa wamepitwa na wakati. Masikini Yanga timu ninayoipenda, kuna tatizo gani?
Naunga Mkono Hoja 😀😁😂😃😄😅Yanga inakosa hadhi ya kujadiliwa JF
Mkeo anakosa hadhi ya kuwa mke ama niniYanga inakosa hadhi ya kujadiliwa JF
Hahaaa umepanic bro!Mkeo anakosa hadhi ya kuwa mke ama nini
Wewe kweli kilaza mambo ya mpira unaleta dini za kutungwa..IQ yako itakuwa 20%Hawa waliotuletea dini ya mnyazimungu lazima leo tuwachape
Amekosa!!!!!😶😑😐🤨Hahaaa umepanic bro!
Kunywa sumu mkuuMkeo anakosa hadhi ya kuwa mke ama nini
Yanga kucheza CAF bonus..nyie mabingwa wamakonde vipiKunywa sumu mkuu
Kunywa sumu wewe..wachezaji wenu wanapewa masufuriaKunywa sumu mkuu
Mtihani mmoja wewe umefail ..Nunua mechi za Singida unitedAmekosa!!!!!😶😑😐🤨
Zero Tolerance
Japo bei ya hayo masufuria ni mshahara wa SadneyKunywa sumu wewe..wachezaji wenu wanapewa masufuria
Yamekuwa hayo tena... hakuna timu inaitwa zahera mtani.Sijawahi kuwa kinyume na Kocha Mwinyi,ila game ya leo aliingia na poor plan,kafungwa Zahera siyo Yanga
Mkude,Nyoni,Gadiel na Chama wangegoma MO kaishiwa mzeeKilomoni kaapa kuuwa mtu ndio mana Magori kasepaJapo bei ya hayo masufuria ni mshahara wa Sadney
Makame atapindua meza wala usijaliNaona mikia Leo roho kwatu
Tunaenda kupindua meza wala Sina wasiwasi