Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hilo halitatokea! Ataachiwa tuMwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo
Tundu Lissu anakwenda kunyongwa mimi nawaambia ukweli wacheni siasa za kumuumiza mwenzenu kaeni chini mtafakari mkampigie goti daktari Samia Suluh Hassan...".
Lissu amekutwa na mashtaka ya kujibu alafu leo anataka kuleta siasa anamhitaji eti rais aje kuja aje pale. Hivi kweli ni akili kweli...".
Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama
View attachment 3656227
Inawabidi kwa sababu wenye akili hawawezi kukubali kuropoka non sense!Tatizo CCM inaokoteza watu kutoka Mirembe waje kuiokoa na tsunami la Lisu
huyo unayesema apigiwe magoti umeambiwa ataishi milele kwenye hii dunia??Mwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo
Tundu Lissu anakwenda kunyongwa mimi nawaambia ukweli wacheni siasa za kumuumiza mwenzenu kaeni chini mtafakari mkampigie goti daktari Samia Suluh Hassan...".
Lissu amekutwa na mashtaka ya kujibu alafu leo anataka kuleta siasa anamhitaji eti rais aje kuja aje pale. Hivi kweli ni akili kweli...".
Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama
View attachment 3656227
NGEKE kweli wewe Kombo ,wampigie goti Samuya kivipi? Kama mtu mmoja anaweza kufanya uhaini akiwa kwenye jukwaa la kisiasa basi tutaona maamuzi ya hao MAJAJI WA SIMU MOJA.Mwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo
Tundu Lissu anakwenda kunyongwa mimi nawaambia ukweli wacheni siasa za kumuumiza mwenzenu kaeni chini mtafakari mkampigie goti daktari Samia Suluh Hassan...".
Lissu amekutwa na mashtaka ya kujibu alafu leo anataka kuleta siasa anamhitaji eti rais aje kuja aje pale. Hivi kweli ni akili kweli...".
Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama
View attachment 3656227
ndicho anachostahili,Mwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo
Tundu Lissu anakwenda kunyongwa mimi nawaambia ukweli wacheni siasa za kumuumiza mwenzenu kaeni chini mtafakari mkampigie goti daktari Samia Suluh Hassan...".
Lissu amekutwa na mashtaka ya kujibu alafu leo anataka kuleta siasa anamhitaji eti rais aje kuja aje pale. Hivi kweli ni akili kweli...".
Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama
View attachment 3656227
Kwa maneno haya, tayari kesi imekwisha, hakuna mtu wa kunyongwa hapa , maana wakimuhukumu kunyongwa , watu watasema mahakama imeisha ingiliwa... no fair trial, maoni haya yako wazi.... Kombo punguza domo, wewe sio hakimu au judge...Mwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo
Tundu Lissu anakwenda kunyongwa mimi nawaambia ukweli wacheni siasa za kumuumiza mwenzenu kaeni chini mtafakari mkampigie goti daktari Samia Suluh Hassan...".
Lissu amekutwa na mashtaka ya kujibu alafu leo anataka kuleta siasa anamhitaji eti rais aje kuja aje pale. Hivi kweli ni akili kweli...".
Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama
View attachment 3656227
Samia ndiyo anakwenda kunyongwa 88%Mwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo
Tundu Lissu anakwenda kunyongwa mimi nawaambia ukweli wacheni siasa za kumuumiza mwenzenu kaeni chini mtafakari mkampigie goti daktari Samia Suluh Hassan...".
Lissu amekutwa na mashtaka ya kujibu alafu leo anataka kuleta siasa anamhitaji eti rais aje kuja aje pale. Hivi kweli ni akili kweli...".
Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama
View attachment 3656227
Basi hawa flat screen wanajiona wana mamlaka eti juu ya Watanganyika!Mwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo