Kombo: Tundu Lissu anakwenda kunyongwa, CHADEMA kapigeni goti kwa Rais Samia

Kombo: Tundu Lissu anakwenda kunyongwa, CHADEMA kapigeni goti kwa Rais Samia

Mwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo

Tundu Lissu anakwenda kunyongwa mimi nawaambia ukweli wacheni siasa za kumuumiza mwenzenu kaeni chini mtafakari mkampigie goti daktari Samia Suluh Hassan...".

Lissu amekutwa na mashtaka ya kujibu alafu leo anataka kuleta siasa anamhitaji eti rais aje kuja aje pale. Hivi kweli ni akili kweli...".

Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama

View attachment 3656227
huyu atakuwa anntembea na laana ya mama yake maana huwezi kuwa an nakili uksema haya. takataka ku78jdfnvb4mayozke kwani samia anatoa hukumu
 
Leo nimefuatilia kesi ya LISSU kuanzia alifu mbaya wasalamu, na nimepata picha kwamba taifa letu linapaswa kupata katiba mpya yenye mamlaka ya usimamizi wa misingi yake, maana kitu kikubwa kabisa hapa ni kwamba misingi ya haki, demokrasia za kisiasa, utawala bora na utawala wa sheria vimeifadhiwa kwenye mamlaka ya mwenye maslahi ya kisiasa, kiukweli mayai haya hayapaswi kuwekwa kapu moja kamwe, Yaani mwenye maslahi ya kisisasa hawezi kamwe kuwa msimamizi wa misingi ya demokrasia ya kisiasa, Baada ya kusema haya naomba nipendekeze kwenu "Rasimu ya katiba yenye muundo wa dola lenye mihimili minne ya kitaifa", Yaani.

1. Baraza la usimamizi wa taifa;
Baraza hili ni muhimili wa usimamizi wa misingi yote ya kitaifa, mamlaka ya kimuungano, tathmini za kitaifa na muungozo kwa hali ya taifa pale Kanuni za ulinganigu wa nguvu za kikatiba zinapoingia.

2. Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania; serikali ni muhimili wa utendaji, utekelezaji wa sera za serikali na taifa, ulinzi wa taifa na mengineyo kama rasimu hiyo itamkavyo.

3. Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania; bunge ni muhimili wa uwakilishi wa wananchi wenye jukumu la kutunga sheria, kupitisha bajeti za taifa, majadiriano ya muelwkwo wa taifa na mengineyo kama rasimu yenyewe itamkavyo.

4. Mahakama ya jamhuri ya muungano wa Tanzania; Mahakama ni muhimili wa utoaji haki, mfasiri wa katiba na sheria za nchi, mtoa huku wa makosa ya jinai na madai na mengineyo kama rasimu yenyewe itamkavyo. Jambo la kipekee ni kwamba ndani ya muhimili huu kuna mahakama ya katiba yenye mamlaka ya juu na ya mwisho kabisa ya mashauri ya kikatiba nchini.

Muundo huu unahakikisha uwajibikaji, uwazi, uadilifu na kuondoa kabisa ufisadi, ubadhirifu wa mali za umma na mwisho kuibua usawa na mshikamano wa kitaifa.

katika rasimu hiyo inayopatikana katika tovuti ya www.katibampya.com Mihimili hii yote minne imetamkwa kwenye SURA YA NNE ya katiba hiyo kwa kuanza na Baraza ibara ya 98 mbaka ibara ya 116 kisha kuendelea mihimili mingineyo kwa mpangilio wa nambafi kama ulivyoweka hapo juu.

Aidha pia Sehemu kubwa ya historia ya LISSU imezungumzia Uchaguzi, na niendelee kusema kwamba Rasimu ya katiba kwenye tovuti tajwa haijaishia pekee kwenye Kuanzisha Tume huru ya uchaguzi, katika ibara ya 212, rasimu hiyo emeenda mbali mbaka kuanzisha, "Mchakato wa uthibitisho wa uhalali wa madaraka na kupingwa kwake" katika ibara ya 176.

Embu fikiria Kabra ya kuapishwa kwa Rais, mbunge na Diwani Kuna mchakato Maalumu wa kikatiba wa kuthibitisha Kura, ushindi na hapo ndipo Mahakama ya katiba inaitisha Uhapisho rasmi, Zoezi hilo limewekwa kwa muda wa siku 30 mbaka 73 pekee.

Haya yote ninayoyasema hapa si maneno ya jumla, hivyo ni wajibu wako kufika kwenye tovuti hiyo na kusoma rasimu hiyo hasa kuanzia kwenye ibara nilizozitaja hapo juu au kuanza mwanzo hadi mwisho.

Angalizo; Rasimu hiyo ya katiba haiondoa mchakato rasmi wa katiba, Hivyo basi Rasimu hiyo ni maoni ya kisomi, kitaaluma yanayoitaji jicho la kisomi, kitaaluma na raia wote kwa ujumla na kwa maoni haya nina imani pale mchakato rasmi utakapoanza basi Wananchi wote tutakuwa na taswira nzuri ya nini kilicho bora.

chanzo: www.katibampya.com
 
Hizo ni filamu za kitoto,,,, kwanza huyu bonge chicha ni kimada wa mfumo,, pili mwenye korodani au matiti matatu ndo atatoa hiyo hukumu ya kunyongwa,,
 
Inabidi kucheka tu...mambo mengine...
Huyu naye amelipwa hela hapo na Kitengo Cha Uenezi na Propaganda Cha CCM ambacho nacho hakiko organized..kama Serikali yao tu..
 
Akifa kishujaa wewe kinakuuma nini sasa?

Yeye ndio ametaka iwe hivyo,unachobwabwaja ni nini?
 
Watu wamalawi wanabaki kuwa viumbe vya hovyo tangu dunia iumbwe.

Watu zaidi ya 50m kweli mnashindwa kuwapigisha jaramba hao mabazazi madhalimu?

Amkeni wacheni ukima na kudeka, maisha yenu jukumu lenu.

Wanawaua,wanakebehi kila uchwao sababu wameona ninyi ni binadamu msio na akili na ni wajinga mpo kama nyumbu zile za mbugani.

#Hallelujah!!!
 
Hivi CCM watu hamnazo km hawa wanawaokota wapi? Lol.
 
Huyo mwendawazimu shetani Kombo, hivi hana hata akili ya kujitambua?
 
Back
Top Bottom