Mwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo
Tundu Lissu anakwenda kunyongwa mimi nawaambia ukweli wacheni siasa za kumuumiza mwenzenu kaeni chini mtafakari mkampigie goti daktari Samia Suluh Hassan...".
Lissu amekutwa na mashtaka ya kujibu alafu leo anataka kuleta siasa anamhitaji eti rais aje kuja aje pale. Hivi kweli ni akili kweli...".
Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama
View attachment 3656227

Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela
Na tunataka anyongwe kuliko kumpigia magoti mtu kwenye kudai haki ya watanzaniandicho anachostahili,
nadhani ni haki yake kulingana na makosa yake![]()
👍Unataka ampigie magoti kwani kasema uongo gani?Wao ndio walitakiwa wampigie magoti kwa kumtesa kumchosha na kumzungusha
TL ndio mtu pekee anaweza kuitisha mkutano na nikamsikiliza iwe jua au mvua acheni kumtaja kwa mambo ya kijinga
Huyo Mzanzibar apunguze shobo. Sasa kama hukumu tayari wameshaandaa kuna haja gani ya utetezi unaoendelea?Mwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli
Faki zati sonofabitch! Hivi hawa chawa bado hawajaelelewa tu kwamba CHADEMA ya leo haina watu wa kumpigia magoti mtesi?Mwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo
Tundu Lissu anakwenda kunyongwa mimi nawaambia ukweli wacheni siasa za kumuumiza mwenzenu kaeni chini mtafakari mkampigie goti daktari Samia Suluh Hassan...".
Lissu amekutwa na mashtaka ya kujibu alafu leo anataka kuleta siasa anamhitaji eti rais aje kuja aje pale. Hivi kweli ni akili kweli...".
Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama
View attachment 3656227
Jina lenyewe komboMwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo
Tundu Lissu anakwenda kunyongwa mimi nawaambia ukweli wacheni siasa za kumuumiza mwenzenu kaeni chini mtafakari mkampigie goti daktari Samia Suluh Hassan...".
Lissu amekutwa na mashtaka ya kujibu alafu leo anataka kuleta siasa anamhitaji eti rais aje kuja aje pale. Hivi kweli ni akili kweli...".
Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama
View attachment 3656227
Mwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo
Tundu Lissu anakwenda kunyongwa mimi nawaambia ukweli wacheni siasa za kumuumiza mwenzenu kaeni chini mtafakari mkampigie goti daktari Samia Suluh Hassan...".
Lissu amekutwa na mashtaka ya kujibu alafu leo anataka kuleta siasa anamhitaji eti rais aje kuja aje pale. Hivi kweli ni akili kweli...".
Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama
View attachment 3656227
Utanyingonga wewe na Mwamba Mzalendo namna moja waTanzania atakuwa huru na hai akiwa na uzima Tele!Shetani hafai hata kupewa salamu hata ya kinaa,licha ya kupigiwa gotiMwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo
Tundu Lissu anakwenda kunyongwa mimi nawaambia ukweli wacheni siasa za kumuumiza mwenzenu kaeni chini mtafakari mkampigie goti daktari Samia Suluh Hassan...".
Lissu amekutwa na mashtaka ya kujibu alafu leo anataka kuleta siasa anamhitaji eti rais aje kuja aje pale. Hivi kweli ni akili kweli...".
Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama
View attachment 3656227
Tundu Lissu hawezi kunyongwa siyo mhaini.Mwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo
Tundu Lissu anakwenda kunyongwa mimi nawaambia ukweli wacheni siasa za kumuumiza mwenzenu kaeni chini mtafakari mkampigie goti daktari Samia Suluh Hassan...".
Lissu amekutwa na mashtaka ya kujibu alafu leo anataka kuleta siasa anamhitaji eti rais aje kuja aje pale. Hivi kweli ni akili kweli...".
Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama
View attachment 3656227
Siyo kosa, Wassira kasema CCM hawawezi kumsamehe Lissu. Kwani CCM ndo mahakama?Kuongelea hukumu kesi ikiwa inaendelea ni kuingilia uhuru wa Mahakama huyu jamaa kafanya kosa ila wahusika watakaa kimya.