The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,360
- 6,922
Utajiri wa haraka haraka...Hivi kwanini watu wanapenda siasa wakati ni hatari sana!???
Ila roho juu juu loUtajiri wa haraka haraka...
Kwani Tundu Lisu kamwambia anaogopa kunyongwa?Mwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo
Tundu Lissu anakwenda kunyongwa mimi nawaambia ukweli wacheni siasa za kumuumiza mwenzenu kaeni chini mtafakari mkampigie goti daktari Samia Suluh Hassan...".
Lissu amekutwa na mashtaka ya kujibu alafu leo anataka kuleta siasa anamhitaji eti rais aje kuja aje pale. Hivi kweli ni akili kweli...".
Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama
View attachment 3656227
Hili punga ni la wapi tena?Mwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo
Tundu Lissu anakwenda kunyongwa mimi nawaambia ukweli wacheni siasa za kumuumiza mwenzenu kaeni chini mtafakari mkampigie goti daktari Samia Suluh Hassan...".
Lissu amekutwa na mashtaka ya kujibu alafu leo anataka kuleta siasa anamhitaji eti rais aje kuja aje pale. Hivi kweli ni akili kweli...".
Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama
View attachment 3656227
Kumbe magoti yakipigwa sheria itapindishwa hata kama ana hatia? Zis kantri..
Siku akinyongwa, maji yatafika vijiji vyote, Tanganyika.Mwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo
Tundu Lissu anakwenda kunyongwa mimi nawaambia ukweli wacheni siasa za kumuumiza mwenzenu kaeni chini mtafakari mkampigie goti daktari Samia Suluh Hassan...".
Lissu amekutwa na mashtaka ya kujibu alafu leo anataka kuleta siasa anamhitaji eti rais aje kuja aje pale. Hivi kweli ni akili kweli...".
Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama
View attachment 3656227
Kwenye one, two!ndicho anachostahili,
nadhani ni haki yake kulingana na makosa yake![]()
Mwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo
Tundu Lissu anakwenda kunyongwa mimi nawaambia ukweli wacheni siasa za kumuumiza mwenzenu kaeni chini mtafakari mkampigie goti daktari Samia Suluh Hassan...".
Lissu amekutwa na mashtaka ya kujibu alafu leo anataka kuleta siasa anamhitaji eti rais aje kuja aje pale. Hivi kweli ni akili kweli...".
Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama
View attachment 3656227
Kwani sasa hivi Chadema anaongoza nani, ???Anachozungumza kisipuuzwe hata kidogo,
Kwenye siasa lolote linaweza tokea.
Unaweza Kuta hata Heche ni ccm ameandaliwa na ccm ili wakimuua lisu yeye aongoze chama kama ilivyokuwa kwa mbowe
Kumnyonga kisiasa anaweza saaana tu. Ana majeshi na vyombo vyote vya ulinzi wanamtii na kumlinda.,, labda vimgeuke.Tatizo letu hatufuati sheria. Kama Mama anataka kumnuonga amnyonge tu Lissu hawezi kupigia magoti mtu. Vilevile Lissu hajamuomba mtu yeyote kumuombea msamaha. Moaka UN wameshaongea sasa mnafikiri Chadema watafanya huu ujinga.
Mama si katili aende kumnyonga aone nchi itaenda wapi
Mimi hii takataka sijaisikiliza ila tuambiane ukweli usio ma jazba ya kisiasa.Mwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo
Tundu Lissu anakwenda kunyongwa mimi nawaambia ukweli wacheni siasa za kumuumiza mwenzenu kaeni chini mtafakari mkampigie goti daktari Samia Suluh Hassan...".
Lissu amekutwa na mashtaka ya kujibu alafu leo anataka kuleta siasa anamhitaji eti rais aje kuja aje pale. Hivi kweli ni akili kweli...".
Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama
View attachment 3656227
Anachosema ni sahihi.Mwanaharakati Ahmed Kombo amesema “Tundu Lissu anakwenda kunyongwa,” akisema anazungumza ukweli na kuwataka wahusika kuacha siasa za kumuumiza mwenzako. Kombo amewataka kukaa chini na kutafakari, huku akiwasihi “wapigie goti” Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la jambo hilo
Tundu Lissu anakwenda kunyongwa mimi nawaambia ukweli wacheni siasa za kumuumiza mwenzenu kaeni chini mtafakari mkampigie goti daktari Samia Suluh Hassan...".
Lissu amekutwa na mashtaka ya kujibu alafu leo anataka kuleta siasa anamhitaji eti rais aje kuja aje pale. Hivi kweli ni akili kweli...".
Kiu ya Heche Tundu Lissuanyongwe awaozee jela yeye aendelee kuwa mwenyekiti wa chama
View attachment 3656227
Mwenyekiti!Kwani sasa hivi Chadema anaongoza nani, ???