Kombo: Tundu Lissu anakwenda kunyongwa, CHADEMA kapigeni goti kwa Rais Samia

 
 
Unataka ampigie magoti kwani kasema uongo gani?Wao ndio walitakiwa wampigie magoti kwa kumtesa kumchosha na kumzungusha

TL ndio mtu pekee anaweza kuitisha mkutano na nikamsikiliza iwe jua au mvua acheni kumtaja kwa mambo ya kijinga
👍
 
Faki zati sonofabitch! Hivi hawa chawa bado hawajaelelewa tu kwamba CHADEMA ya leo haina watu wa kumpigia magoti mtesi?

They’d rather die standing on their feet than live while on their knees!
 
Jina lenyewe kombo
 

..Kombo hajui kwamba ili TL anyongwe italazimu Mama aidhinishe?

..Na Mama kaishasema hajawahi kusaini mtu anyongwe, hivyo TL atakuwa ndio wa kwanza.
 
Utanyingonga wewe na Mwamba Mzalendo namna moja waTanzania atakuwa huru na hai akiwa na uzima Tele!Shetani hafai hata kupewa salamu hata ya kinaa,licha ya kupigiwa goti
 
Tundu Lissu hawezi kunyongwa siyo mhaini.
Hiii janjajanja yake kutafuta MTU atakayemrithi 2030 ili asinyongwe kwa Mauaji ndo inayomsotesha Lissu jela.
 
Anachozungumza kisipuuzwe hata kidogo,
Kwenye siasa lolote linaweza tokea.
Unaweza Kuta hata Heche ni ccm ameandaliwa na ccm ili wakimuua lisu yeye aongoze chama kama ilivyokuwa kwa mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…