Kombo: Tundu Lissu anakwenda kunyongwa, CHADEMA kapigeni goti kwa Rais Samia

Kwani Tundu Lisu kamwambia anaogopa kunyongwa?
 
Hili punga ni la wapi tena?
 
Siku akinyongwa, maji yatafika vijiji vyote, Tanganyika.

Shule zote watajaza madawati, madaraja yote yatajijenga automatically,, madawa yatajaa hospital zote, zahanati na vituo vya afya. Graduate wote siku hiyo watapata ajira.

Bandari itarudishwa kwa Serikali. Mikataba ya wizi yote itafumuliwa kwa kuwa gaidi kanyongwa na roho yako itasuuzika na utaoga bia.
 


Tatizo letu hatufuati sheria. Kama Mama anataka kumnuonga amnyonge tu Lissu hawezi kupigia magoti mtu. Vilevile Lissu hajamuomba mtu yeyote kumuombea msamaha. Moaka UN wameshaongea sasa mnafikiri Chadema watafanya huu ujinga.

Mama si katili aende kumnyonga aone nchi itaenda wapi. Kila mtu anajua akinyongwa ni Mama kamnyonga sio mahakama wala sheria
 
Anachozungumza kisipuuzwe hata kidogo,
Kwenye siasa lolote linaweza tokea.
Unaweza Kuta hata Heche ni ccm ameandaliwa na ccm ili wakimuua lisu yeye aongoze chama kama ilivyokuwa kwa mbowe
Kwani sasa hivi Chadema anaongoza nani, ???
 
Kumnyonga kisiasa anaweza saaana tu. Ana majeshi na vyombo vyote vya ulinzi wanamtii na kumlinda.,, labda vimgeuke.

Wadanganyika watasema sema siku mbili tatu,, kimya.

Kwa Polepole walisema hivi hivi. Sasa wametulia tuliiii.

Kwa Nchimbi pia walibweka bweka,, sasa napo kimyaaaaa.

Ila mwenye dunia yake akiamua kupindua meza kama pale hekaluni miaka 2000 iliiopita,, mtaona mambo yasiyotarajiwa.
 
Mimi hii takataka sijaisikiliza ila tuambiane ukweli usio ma jazba ya kisiasa.

Ni judge gani hapa Nchini atapigiwa simu na Samia, anaambiwa mnyonge Lissu eti huyo judge amjibu Rais " siwezi kumnyonga, natekeleza sheria namwachia huru. Akikumbuka kuanzia ya Lwajabe, Polepole, Nchimbi, Ndugai, Tulia nk.

Huyo judge labda atoe hukumu akiwa tayari ndani ya ndege
Anachosema ni sahihi.

Jaji yupi atapigiwa simu na Samia akimwamuru kumnyonga Lisuu na huyo Jaji aliyeteuliwa na Samia huyo hiyo, akakaidi na kufata sheria ???

Labda atoe hukumu akiwa ndani ya ndege tayari kuhama Nchini. Vinginevyo orodha itaongezeka, ya Lwajabe, Polepole, Nchimbi, Ndugai nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…