Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Speed yake inaweza kuzidi ya mbwa?
 
Too much exaggeration, [emoji1787] Ni mnyama jamii ya mijusi wakubwa,Ni kweli wana sumu kali,ila Ni waoga Sana na wanawinda kwa makundi, also Wana Tabia za cannibalistic adults, yaani wakubwa kuwala vifaranga [emoji1787][emoji1787][emoji2322]
 
Ok sawa
Hivi huyu komodo na yule ambaye tunamwona kwenye movie anaefana kichwa kama cha kondoo alafu ana meno kana ya mamba shingo ndefu miguu miwili mikubwa na miwili ya mbele midogo dogo (kama kangaroo) nae anakulaga nyama nani anatisha.
😂😂🤣🤣 Nshalijua linaitwa Godzilla. Lile ni kiboko aisee. Mkuu lile linatema moto, na kama likitoa ushuzi basi mvuke wake unaweza kuivisha chakula au kukausha nguo zilizoanikwa.
 

Attachments

  • Screenshot_20220814-202954.jpg
    41.6 KB · Views: 10
Nimeona video moja wamechukua sumu inayotoka kwa Comodo then wakaweka kwenye nyama ya ng'ombe. Baada ya siku 3 ile nyama ikawa kama mkaa/majibu fulani hivi.
Ebwana sumu ya lile dubwasha haielezeki. Wachache wanaopinga ni wale wasiofahamu sifa halisi ya hili dubwasha hatari zaidi duniani.
 
kama ni kweli basi huyo mnyama ni hatari sana
Mkuu Red Devils kama una muda kidogo pitia comments hizo za mashuhuda wengine. Afu upime na kile nilichoandika kama utaona tofauti.

Soma post namb #5 , #33 na #293

Ukweli ni kwamba hilo dubwasha lipo duniani kwa ajili ya kuuwa na kula viumbe wengine.
Full stop.
 
Mkuu nashukur sana kwa ufafanuzi wako. Lkn mimi nilikuwa nimeshatolea ufafanuzi pia ktk post namb #266
Kwamba mamba, kenge, komodo na wengine wa aina hiyo wote ni jamii ya mjusi au mijusi.
 
Ndio ni kenge jamii kubwa sema sumu tuu ndio inafanya atishe ila kama ni meno hana ana ndimi zikitoka ni kama 2 hivi kama kenge vile vile
Wataalam wanasema ana meno madogo madogo aina ya msumeno, lkn yamejificha ndan ya ufizi wake.
 

Attachments

  • Screenshot_20220814-212718.jpg
    35.1 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220814-213148.jpg
    31.8 KB · Views: 6
Mkuu nashukur sana kwa ufafanuzi wako. Lkn mimi nilikuwa nimeshatolea ufafanuzi pia ktk post namb #266
Kwamba mamba, kenge, komodo na wengine wa aina hiyo wote ni jamii ya mjusi au mijusi.
Naelewa mkuu. Ni kwamba tu pia nilikusoma ulisema kama vile siyo jamii Moja Kwa maana komodo ni maradufu zaidi ya kenge wengine ila pia ukasema 'ni komodo na ni dragon' kama vile komodo ni kiumbe kingine kabisa na siyo kwamba ni kenge anayeitwa komodo dragon. ile 'na ni dragon' niliona niwatoe tu watu hofu, dragons are not real 😄😄
 
Ya ni kweli mkuu, nahisi kuna sehem nilikuwa napita fasta na kujikuta nimechanganya maana. Shukran sana mkuu kwa ufafanuzi wako wenye tija.
Ubarikiwe sana 🙏.
 
Ni hivi kiuhasilia hakuna kiumbe ambacho ni kibabe kuliko chenzie hata mchicha unauunda na kitimoto lakini ukifa utakaa ardhini utakufyonza!
Hata blue whale anaweza uliwa na killer whale wawili
 
Kuna ukweli hapo ila ndiyo maana nikaweka takwimu. Kitakwimu pia, binadamu anaekimbia hatari Huwa ana mbio zaidi ya kawaida. Ila kiuhalisia kiwastani, komodo wa mbio kuliko binadamu wa kawaida
Huyu jamaa na uzi wake amefanya nihangaike na huyu kenge tangu asubuh[emoji16]
Nimetoka kugugu tena, kwa anavyochanganya haraka ukashtuka ukamkuta karibu yako less than 10 feet basi umeisha, labda uwe una mbio kwelikweli uchomoke kama mshale. Ila zaidi ya hapo unamtoroka vzuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…