So yeye anaweza kula sumu yake pasi kudhurika?Yani huyu akishang'ata tu kazi imekwisha. Unaweza kusavaivu tu zile dakika 2 za mwanzo. Baada ya hapo wewe ni kitoweo chake. Haijalishi umeshakufa au bado, utaliwa tu kiubabe. Farasi na ukubwa wake wote, alipigwa jino moja tu. Baada ya dakika tatu akaanza kuliwa nyama huku anajiona.