Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
We weeeeh...hawawezi imaliza nahofia tu watanogewa pale nitakapokua nimemalizana nao πWataimaliza hiyo chumvi ππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We weeeeh...hawawezi imaliza nahofia tu watanogewa pale nitakapokua nimemalizana nao πWataimaliza hiyo chumvi ππππ
ππ sema nawe uta enjoy kwa ule ulimi wao ulivyo mrefu hakutobaki na chochote.. wanasafisha kila kitu .. uwatunze vizuri tu hata mda wao ukiisha waondoke kwa amaniWe weeeeh...hawawezi imaliza nahofia tu watanogewa pale nitakapokua nimemalizana nao π
πππ dah aisee.. so funny hahahahaππππ Can't wait kuwaona..maana nimeshaandalia kajumba kao kadogo dogo kenye joto na tuchumvi chumvi ..si wanapenda kulamba lamba chumvi eeh..maana huo ulimi wake π
π€£π€£π€£π€£π€£πππ dah aisee.. so funny hahahaha
Yuko kama kenge mkubwaPia kenge si kenge. Yani hili limnyama ni noma.
Bingwa wa kula wenzake huku wakiwa hai ni mbwa mwitu na fisi.Bora ukimbilie ndani ya chombo [emoji23][emoji23][emoji23] sio kuliwa huku unajiona
Hapana mkuu sumu haikai mwilini kote bali inakuwa kwenye vifuko flani hivi, kama ilivyo kwa nyoka. Ukivitoa analiwa tuu... Mfano mamba nyongo yake ni sumu hatari sana lakini ukiitoa vizuri nyama yake inaliwa fresh tuu.Unawezaje kulila dudu lenye sumu kali kuanzia kichwani hadi mkiani? Hii ni sawa na kusema hivi mtu hauwezi kulitafuna lile bomu la mkononi linalofanana na kiazi au nanasi.
Achana na Eagle hii ni
mbwa mwitu nao wana ujinga huuBora ukimbilie ndani ya chombo πππ sio kuliwa huku unajiona
Mbona kama kenge, au na kenge ana sifa kama za jamaaHabari zenu wana JF wenzangu.
Leo nimekuja na mada inayohusu mnyama hatari kuliko wanyama wote duniani anaitwa Komodo dragon.
Mnyama huyu ana uwezo wa kuua wanyama wengine hatari kama vile
1) Tiger
2) Simba
3) Leopard, Cheetah (chui)
4) Mamba
5) King cobra, Black mamba nk.
6) Honey badger pamoja na uwezo wa kuishi karibu na wanyama wakali, lakini hawezi kufanya mzaha huo mbele ya Komodo dragon aisee atamezwa yeye na manyoa yake. Jamaa hana masihara na mnyama mwingine yoyote.
Komodo dragon ana venom (sumu kali) kuliko mnyama yoyote hapa duniani. Akiuma mara moja tu inatosha kumaliza mchezo. Hata iwe Tembo, kifaru, kiboko, simba nk hawawezi kufikisha dakika 5 bila kuanguka chini na kupararaizi, kisha Komodo anajivuta taratibu kuja kula nyama.
Haijalishi hapo mnyama atakuwa ameshakufa au bado anapumua, Komodo atachofanya ni kuanza kumtafuna mzima mzima huku anayetafunwa anamuona. Kwa vile atakuwa ameshapararaizi basi mshambuliwa hatokuwa na nguvu ya kumfanya chochote Komodo.
Mnyama huyu hata sumu ya koboko haimdhuru kutokana na aina ya uumbwaji wake ulivyo, ila yeye ya kwake inamdhuru koboko kwa sekunde tu, kwanza anaweza kummeza kwa sekundi 10 bila hata kutumia venom (sumu) yake.
Kwa upande wa binadam sometimes unaweza kuumwa na Simba, Tiger, Leopard, Mamba nk ila ukawa jasiri na kufanikiwa kujiokoa na kutoka nduki kuokoa maisha yako.
Ila mzee Komodo yeye akishakupiga jino basi ujue ni bye bye maana kama ukibahatika sana itachukua ni dakika 3 au 5 kuiaga dunia na pengine mzee wa kazi atakuja akutafune ukiwa bado hujafa hadi atakumaliza na kukumeza wewe wote.
Huyu mnyama akishakupiga jino hukaa pembeni umbali kidogo wa ulipo halafu anakusikilizia. So unaweza kutoka nduki ukidhani umepona kumbe dakika mbili au tatu za mbele utaanguka na kuanza kuishiwa nguvu, hapo ndo mzee wa kazi ataanza kukufuata huku akitumia pua yake kunusa kila sehemu uliyokanyaga hadi atakukuta ukiwa hoi na yeye au wao wakumalizie kabisa.
Huyo ndio Komodo dragon mbabe wa wababe wote duniani. Japo wengi huku Afrika hawamjui kutokana na wanyama hao kupatikana zaidi katika bara la Asia.
View attachment 2321342View attachment 2321345
Achana na Eagle hii ni
Habari nyingine.
Wanakulaga mtu akiwa hai?mbwa mwitu nao wana ujinga huu
Shenzi sana ndio maana siwapendagi fisiBingwa wa kula wenzake huku wakiwa hai ni mbwa mwitu na fisi.
Shenzi sana ndio maana siwapendagi fisi
Kwa hiyo unakubali kwa mwanadamu black mamba ni hatari kuliko huyo dragon?Mkuu sikatai kwamba black mamba ni rahisi mno kumu attack binadam kuliko hili dubwasha. Ila kinachofanya huyu awe hatari ni kwa sababu ana uwezo wa kuangamiza kiumbe chochote kilichopo mbele yake. Tofauti na black mamba ambae anaweza kudhibitiwa na mnyama mdogo kama mangoose. Yan black mamba hata akifanikiwa kung'ata mangoose bado mangoose ataendelea kufanya kile anachotaka kufanya kw black mamba hadi atamuuwa. Ila hili kwanza anaweza kumtafuna huyo mangoose bila hata kujipa hasara ya kutumia sumu yake.
Sawa lakini black mamba ni balaa lingine.Hahaha. Wahadzabe nawajua, ni mabingwa kweli kwa namna yao, lkn mwamba hili dubwasha sifa zake ni zaidi ya vile unavyofikiria wewe. Huyu kuna video flan alimkuta sijui kobe mkubwa au kasa yule nchi kavu. Akaenda na kuanza kutafuta jinsi ya kumla. Alivyoona lile jumba la kobe linamuingizia usiku kula kitoweo chake basi jamaa alimeza vyote kobe na jumba lake kwa pamoja. Na baada ya hapo nikakaa nione kama litapata madhara yoyote kwa kumeza lile jumba.
Aisee dakika hiyo hiyo mwamba katembea zake kwenda kutafuta windo lingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaona domo hilo. Huwa linapanuka muda wowote kulingana na ukubwa wa mnyama anaeliwa.
Nzuri mkuu. Siku nyingi sana, uzima upo?.Kwema mkuu? Za siku nyingi?