Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #221
Komodo ana venom. Mnyama akishakuwa na venom ina maana ana sumu tayari.Dah uongo uliopitiliza komodo hana sumu. Ila mate yake yamejaa bacteria na hii imesababishwa na uchafu wa kinywa chake. So akikuuma anakuachia bacteria ambao watakushambulia na itachukua muda kufa na si kwa dkk 3 au 5 ni zaidi ya masaa kadhaa. Acha uongo