Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah, hawa kenge, mamba na komodo dragon ni jamii ya mjusi au mijusi.Mbona kama kenge, au na kenge ana sifa kama za jamaa
Nzuri mkuu. Siku nyingi sana, uzima upo?.
Kabisa Chief, ni masiku mengi sana yamepita na ni jambo la furaha kwangu ninapochungulia Jf na kukutana na Maveterani wa Jf kama wewe🤣☺️. Kwasasa ID mpya ni nyingi sana, so unapotokea umebumiana na I'd za kitambo Kama hivi ni lazima ustop kwanza.Yah siku nyingi,,Nashukuru Mungu niko salama mkuu.
Dubwasha nishalipata ila shughuli yake pevu. Limekula ndoano na chambo vyote pamoja.🤣🤣🤣🤣🤣
Uwe na muda mwema..usiniweke sasa
Komodo dragon naye ni lizard. Halafu hizo sifa unazompa umezidisha. Kwamba ana sumu kuliko mnyama yoyote sio kweli.Kenge kwa kizungu anaitwa lizard, huyu anaitwa Komodo dragon.
Kwahiyo ni vitu viwili tofauti. Ni mfano umwite Tiger, Leopard au Cheetah (chui) paka eti kwa vile wanafanana muonekano wao. Hili dubwasha limeshindwa kupewa heshima na wazungu kwa sababu halikuwahi kuishi huko kwao ulaya. Hili lidubwasha lingekuwa linapatikana ulaya na Afrika basi lisingekosa kuwekwa katika wale tano bora ya wanyama hatari duniani. Kama chui ambae ni mchumba tu amewekwa kwenye list vipi hili dubwasha lenye uwezo wa kuangamiza kiumbe chochote hapa duniani anyimwe heshima hiyo ya tano bora?
Yaani kenge awekwe kwenye tano bora!? Ha ha haaa ...Kenge kwa kizungu anaitwa lizard, huyu anaitwa Komodo dragon.
Kwahiyo ni vitu viwili tofauti. Ni mfano umwite Tiger, Leopard au Cheetah (chui) paka eti kwa vile wanafanana muonekano wao. Hili dubwasha limeshindwa kupewa heshima na wazungu kwa sababu halikuwahi kuishi huko kwao ulaya. Hili lidubwasha lingekuwa linapatikana ulaya na Afrika basi lisingekosa kuwekwa katika wale tano bora ya wanyama hatari duniani. Kama chui ambae ni mchumba tu amewekwa kwenye list vipi hili dubwasha lenye uwezo wa kuangamiza kiumbe chochote hapa duniani anyimwe heshima hiyo ya tano bora?
Kabisa Chief, ni masiku mengi sana yamepita na ni jambo la furaha kwangu ninapochungulia Jf na kukutana na Maveterani wa Jf kama wewe🤣☺️. Kwasasa ID mpya ni nyingi sana, so unapotokea umebumiana na I'd za kitambo Kama hivi ni lazima ustop kwanza.
SHUKRAN KWA SALAMU SHEIKH WANGU ALLAH AKUTIE WEPESI.
Si unaona kalinyonga na kamba bila hivyo huyo angekuwa finyango zaamaniiiDuh ! Huyo jamaa kalibambia kabisa.
Black...Sio Blank!..…Blank mamba ndio hatari ndani ya dakika umeshapotea
...Kaka, Unamfagilia Sana kupita kiasi wakati unamsoma TU kwenye Vitabu na Kumuona kwenye Runinga TU! SI afadhali Umsifie Sana Kiboko ambaye angalau Yuko kwenu lakini Wachina Wanaishia kumkata Kichwa TU Chenye Sumu na Kumfanyia Asusa??Kenge kwa kizungu anaitwa lizard, huyu anaitwa Komodo dragon.
Kwahiyo ni vitu viwili tofauti. Ni mfano umwite Tiger, Leopard au Cheetah (chui) paka eti kwa vile wanafanana muonekano wao. Hili dubwasha limeshindwa kupewa heshima na wazungu kwa sababu halikuwahi kuishi huko kwao ulaya. Hili lidubwasha lingekuwa linapatikana ulaya na Afrika basi lisingekosa kuwekwa katika wale tano bora ya wanyama hatari duniani. Kama chui ambae ni mchumba tu amewekwa kwenye list vipi hili dubwasha lenye uwezo wa kuangamiza kiumbe chochote hapa duniani anyimwe heshima hiyo ya tano bora?
Hatari ya mwanadamu ipo kwenye akili. Kutumia zana ndio Akili.Mwanadamu u'hatari wako mpaka uwe na vitendea kazi..
Ukiwa mikono mitupu hata paka akikukazia hutoboi [emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu,Habari zenu wana JF wenzangu.
Leo nimekuja na mada inayohusu mnyama hatari kuliko wanyama wote duniani anaitwa Komodo dragon.
Mnyama huyu ana uwezo wa kuua wanyama wengine hatari kama vile
1) Tiger
2) Simba
3) Leopard, Cheetah (chui)
4) Mamba
5) King cobra, Black mamba nk.
6) Honey badger pamoja na uwezo wa kuishi karibu na wanyama wakali, lakini hawezi kufanya mzaha huo mbele ya Komodo dragon aisee atamezwa yeye na manyoa yake. Jamaa hana masihara na mnyama mwingine yoyote.
Komodo dragon ana venom (sumu kali) kuliko mnyama yoyote hapa duniani. Akiuma mara moja tu inatosha kumaliza mchezo. Hata iwe Tembo, kifaru, kiboko, simba nk hawawezi kufikisha dakika 5 bila kuanguka chini na kupararaizi, kisha Komodo anajivuta taratibu kuja kula nyama.
Haijalishi hapo mnyama atakuwa ameshakufa au bado anapumua, Komodo atachofanya ni kuanza kumtafuna mzima mzima huku anayetafunwa anamuona. Kwa vile atakuwa ameshapararaizi basi mshambuliwa hatokuwa na nguvu ya kumfanya chochote Komodo.
Mnyama huyu hata sumu ya koboko haimdhuru kutokana na aina ya uumbwaji wake ulivyo, ila yeye ya kwake inamdhuru koboko kwa sekunde tu, kwanza anaweza kummeza kwa sekundi 10 bila hata kutumia venom (sumu) yake.
Kwa upande wa binadam sometimes unaweza kuumwa na Simba, Tiger, Leopard, Mamba nk ila ukawa jasiri na kufanikiwa kujiokoa na kutoka nduki kuokoa maisha yako.
Ila mzee Komodo yeye akishakupiga jino basi ujue ni bye bye maana kama ukibahatika sana itachukua ni dakika 3 au 5 kuiaga dunia na pengine mzee wa kazi atakuja akutafune ukiwa bado hujafa hadi atakumaliza na kukumeza wewe wote.
Huyu mnyama akishakupiga jino hukaa pembeni umbali kidogo wa ulipo halafu anakusikilizia. So unaweza kutoka nduki ukidhani umepona kumbe dakika mbili au tatu za mbele utaanguka na kuanza kuishiwa nguvu, hapo ndo mzee wa kazi ataanza kukufuata huku akitumia pua yake kunusa kila sehemu uliyokanyaga hadi atakukuta ukiwa hoi na yeye au wao wakumalizie kabisa.
Huyo ndio Komodo dragon mbabe wa wababe wote duniani. Japo wengi huku Afrika hawamjui kutokana na wanyama hao kupatikana zaidi katika bara la Asia.
View attachment 2321342View attachment 2321345
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ana undugu na comodo huyuuuu...Umeli overrate sana hilo likenge lako mkuu, linaweza kuwa na bacteria hatari kabisa ambao wanaweza kukutoa uhai ndani ya dk tatu. Lakini sidhani kama lina uhatari kihivyo kama hao wengine maana halina speed ya kukimbizana na windo halafu mpaka likuvizie, yaani hata mimi naweza kukutana nae afu nikasepa mbio lisinipate likalala njaa kitu ambacho kwa koboko au hao akina simba/chui sahau. Sasa si bora nikutane na komodo hata kumi kuliko chui[emoji28][emoji28]
Mandonga tu hiyo[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ana undugu na comodo huyuuuu...