Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Huyu ni kenge mkubwa mwenye sumu.
Ya wala haujakosea sana. Yani kenge, mamba, komodo dragon na wengine wa aina hiyo wapo katika kundi la mijusi kama ilivyo kwa tiger, simba, chui na wengine wa aina hiyo ambao wapo katika kundi la paka au wazungu huwaita Big Cat.
 
MUNGU ni fundi Sana kama Komodo dragon wangekuwa wanapatikana Africa basi Huko kwenye hifadhi kusingekuwa na wanyama wengine zaidi Yao.
Hawa ni wanyama hatari sana Kwa uhai wa wanyama wengine, kwenye Ile channel ya NAT geo wild wanasema huyu ndiye mnyama hatari zaidi mwenye sumu kali kuna video zake jinsi anavyowala nyoka kama anakula tambi hiviii
 
Duh Mungu kaumba!
 
Can Komodo dragon venom be cured?

Because the venom is not a serious health hazard to humans, as Komodo Dragons rarely bite people, and because the venom is not deadly, there is no plan to develop an antivenom. The venom causes local necrosis at the site of the bite.

Kwa maana hiyo; ni kwamba anasumu ila si hatari sana kwa binadamu. kwa maelezo tajwa hapo juu ni kwamba aina hata haja ya kutengeneza dawa (antvenom) kwa sababu sumu yake inatibika.
 
Ni mnyama wa ajabu huyu!
 
Mkuu mie nachojua ni kuwa akikung'ata akakujeruhi basi damu yako itaanza kutiririka bila kuganda mpaka utapoishiwa nguvu na kuanguka ama kupoteza maisha kabisa.

Akisha kung'ata basi anajua shughuli imekamilika anaaza tu kukufuatilia mahala unapopita akitegemea atakukuta umegeuka windo lake.



MAGUFULI4LIFE.
 

Unapanda juu ya mti [emoji23]
 
Yani Mungu ni muweza na mwenye huruma na sisi waafrika. Hili dubwasha lingekuwa Afrika basi lingekuwa lishamaliza wanyama wetu na kuhamia kwetu binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…