Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Unapanda juu ya mti [emoji23]
Kama akishakung'ata kazi kwisha. Anyway utapanda juu ya mti, lkn kwa muda fulani utaanza kupoteza nguvu, mwili utashikwa ganzi kiasi kwamba hata mti wenyew utashindwa kuushika ili kuzuia usianguke.

I mean dakika za mwisho utaanguka tu na kuwa kitoweo chake. Hakuna namna ya kulikwepa hilo dubwasha baada ya kukutia jino.

Hilo sio dudu la kawaida, hilo ni monster mkuu.
 


Mengi umeandika sahihi.. comodo are powerful And deadliest beast.. ila hapana sumu yake sio
Lethal zaid ya black mamba.. na wala hawako
Hata top 10 ya deadliest venom species

Unachokiona kwenye tv kuwa mnyama amekuwa disabled na sumu ndan ya dk 5 ile ni edited video ili wafupishe hiyo clip..

Comodo sumu yake inaweza kuua/ kumfanya mnyama au binadam awe amepararalyze asipopata matibabu kati ya masaa 24 hadi siku nne kutegemea na ukubwa wa mnyama.. na ukubwa wa comodo

Kinachotokea comodo sumu yake inafanya mnyama atoe harufu ambayo comodo anaweza ku track hata baada ya siku mbili..

Na sumu ya comodo iko kwenye mate yaan mda wote yale mate yake yana sumu .. ni tofaut na nyoka ambaye ana vishimo vya kuzalisha sumu yaan nyoka akikuuma sumu yake ni 100% lethal
 
Ok mkuu, lkn comodo ni hatari zaidi kwa viumbe wengine kulikoni nyoka.
 
Bora yapoteee yanafanana na dragon ujue
 
Binadamu ni ultimate predator,sababu ya uwezo WA akili tukiamua tuwauwe Simba wote tunaweza ,pahala popote binadam akiweka makazi wanyama wanakula Kona,habari yeti wanayo
Mbona tumeweka makazi na bado panya wanadunda tu na msosi wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…