Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Hilo linammeza hadi kasa na jumba lake.
Halina huruma na kiumbe yoyote hapa duniani. Linalotaka lenyewe ni kujaza tumbo lake tu.
Nliona video moja muastralia anamfuga anakaa naye nyumbsni
Kuna wanadam wengine hawaishi
Vituko

Ova
 
Andiko liko na ukweli kwa asilimia 50, asilimia 50 zinazobaki ni kamba tu!

Hakuna namna komodo dragon anaweza kukutana na simba. Wanaishi mabara tofauti kabisa. Sasa sijui huo uwezo wa komodo kumuua simba mmeupima vipi?

Komodo ni mchumba sana kwa big cats na predators wengine wanaowinda kwa timing.
 
Hii mada imeletwa mda kidogo ila nilikuwa sijaiona ningem challenge sana
Yaani huyu labda sio ninaemjua
Comodo dragon mate yake ndio yana bacteria na ana sumu kali anapouma inachukua siku kuuwa mnyama kama ng'ombe na ile bacteria na sumu ndio zitamdhoofisha mpaka kufa naye huwafuatilia kwa siku kadhaa na kuwala
Kwa wanyama wadogo anaweza kuwameza na kuwala hapo hapo kwa kuwavizia kama nguruwe au mbwa hao anawala wakiwa hai hapo hapo kama akiwakamata
Namba 5 sio kweli pia yaani hata cobra au black mamba daaa hao sumu yao inauwa na sidhani kama atapata mda wa kupambana nae
Kweli ni mbaya ila sio kwa sifa hizo maana anafukuzwa mpaka na watoto akiwa kwenye makazi
Sasa Tiger au lion utamfukuza kama kuku
 
Nliona video moja muastralia anamfuga anakaa naye nyumbsni
Kuna wanadam wengine hawaishi
Vituko

Ova
Wazungu wanajifanyaga wanajua kufuga kila kitu. We mwache, siku likikosa chakula lazima litamla mwenyewe anaelifuga.
 
Kila mnyama anawinda kwa taiming including Comodo Dragon mwenyewe bro.

Hivyo its all about timing.
 
Kuna video moja komodo dragon na njaa njaa zake alijichanganya kummeza yule samaki mwenye umeme mwilini mwake, yule ambaye anapiga shoti akiguswa tu..

Sasa komodo dragon ile kuanza kummeza alichezea shoti za mdomoni akamtema hapo hapo...[emoji28]
 
Venom yake ni fatal! Japo haiui kwa haraka kama usemavyo

Kweli jamaa kaongea kimihemko zaidi, kwa wanyama ni sawa huakika wa kuua ni mwingi sababu kwa wao hawana akili ya kufanya matibabu, ila inaweza chukua hata masaa zaidi ya sita kufikia kumlaza chini kwa baadhi myama, kwa sisi binadam ukiweza kupata msaada wa matibabu hukakika wakupona ni mkubwa sana maana sumu yake sio kama ya BLACK MAMBA na wengineo hao kwa ukali wa sumu zao ni ngumu kupona hata kama upo karibu na eneo lenye msaada wa matibabu.
 
Umeongea vema, uzuri national geographic wana program za kuelezea hii kitu... hata ukiingia google, comodo hata kwenye top 10 hayupo.
 
Umeongea vema, uzuri national geographic wana program za kuelezea hii kitu... hata ukiingia google, comodo hata kwenye top 10 hayupo.
Haswa mkuu, lweli kabisa na mimi ni mpenzi sana wa wanyama mpaka natamani nifungue Zoo tu
Nawafuatilia sana na documentaries zaidi ya 300 nimeziangalia kuanzia mchwa na maajabu ya vichuguu vyao mpaka birds of Paradise na wanyama wote na wa baharini pia
Nilisema humu Blue Whale mishipa yake ya damu unaweza kuogelea wakaniita muongo ila sio maneno yangu ni mtaalmu mzee David Attenborough (Biologist ninaemkubali

Ila Komodo hana kitu huyo
 
Kuna video moja komodo dragon na njaa njaa zake alijichanganya kummeza yule samaki mwenye umeme mwilini mwake, yule ambaye anapiga shoti akiguswa tu..

Sasa komodo dragon ile kuanza kummeza alichezea shoti za mdomoni akamtema hapo hapo...[emoji28]

Weka video nimetokea kulichukia hilo dude
 
hamuwezi nyegere ( honey badger) huyu anaanzia wapi kwanza....kwanza ngozi ya honey badger ni ngumu kama jiwe hilo jino lake linaingia wap?? na ndo maana kale ka mjamaa kanatembea hata katikati ya simba wengi kanadunda na honey badger anaweza lala hata ndan ya makazi ya fisi au black mamba vzur tuu......sumu ya black mamba humfanya honey badger azimie mda mfupi tuu baada ya hapo anaamka anaendelea kutafuta maokoto..πŸ˜·πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜†πŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…