Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Mkuu Tsh , kila mnyama hapa duniani hukamata windo lake kwa timing. Hata Tiger, Simba, Mamba, Chatu na wengine wa aina hiyo huvizia pale muwindwa anapokuwa hana hili wala lile na kumvamia ghafla (ambush) kisha kuanza kumshambulia na hatimae kummaliza.

Kuhusu kuavoid binadamu huu ni uwezo tuliopewa binadam dhidi ya wanyama wote wakali na wapole kama tunavyoona pichani.
 

Attachments

  • images (15).jpeg
    27 KB · Views: 8
  • images (21).jpeg
    52.9 KB · Views: 8
Akijitokeza kwa Hadzabe huku Lake Eyasi analiwa na sumu yake tena msosi fresh kabisa
 
Blank mamba ndio hatari ndani ya dakika umeshapotea
Black mamba ni hatari kwa binadam tu, ila kuna baadhi ya viumbe mfano wale aina ya nguchiro huwa wanamtafuna black mamba vizuri, ila hili dubwasha linaweza kumtafuna huyo nguchiro na black mamba wake kwa pamoj na hakuna madhara yoyote linalalopata zaidi ya kushiba na kutafuta mahali pa kujipumzisha tu.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kikwetu kwetu mtu mzima 25+yrs kufa bila kuacha mtoto ni kama laana.

unazikwa na kusahauliwa, huna hata alama kama ulikuwepo
Miaka zaidi ya 30 bila mtoto, hiyo lazima ilete mashaka ndani ya familia aisee.
 
Kuna documentary Moja nilisoma,

Kwamba sehemu nzur na salama ya kukimbilia endapo zile movie hollywood za mazombie zitakuja kua kweli

Kua Ni comodo island,
Kisiwa wanakolatikana comodo dragons

Kwamba wao mizoga kama mazobi ndo sukari yao, mazombi yote yataliwa na Dunia itabaki salama[emoji4]
 
Huyu mnyama akihakikisha amekuchubua na meno yake, basi anakuacha na kusepa. Anajua tu muda si mrefu utapoteza fahamu au kufa kabisa then anakurudia kukumaliza kabisa.
Na anaweza kula windo lake likiwa hai kabisa (alive)
 
Aisee hiyo documentary ni nzuri sana mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Huyu mnyama akihakikisha amekuchubua na meno yake, basi anakuacha na kusepa. Anajua tu muda si mrefu utapoteza fahamu au kufa kabisa then anakurudia kukumaliza kabisa.
Na anaweza kula windo lake likiwa hai kabisa (alive)
Hivyo hivyo wala hujakosea mkuu. Ubarikiwe sana kwa ufafanuzi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…