Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Jama nshaangslia huyo mnyama kwenye national geographic. Kwa kifupi ni kenge. Ukubwa ni kutokan na maeneo
Mkuu huyu sio kenge na wala hajawahi kuwa kenge. Ni mnyama tu jamii ya mijusi. Kama unavyoona kuna Tiger, Leopard, Cheetah (chui) ambao ni jamii ya paka, lakini haimaanishi kuwa wanyama hao wakubwa nao ni paka.
 
Walionyesha kamlamba mshkaji fulan tumboni. Alikuwa kalala ndan ya hema bila kufunga wakapeleka hospital ila hata hakufika. Na dogo mwngne akiwa anafuata mpira uliongia kichakan wakat wanacheza akalikuta lijomba likamuotea kidogo mkonon dogo akanyoosha.
Jama nshaangslia huyo mnyama kwenye national geographic. Kwa kifupi ni kenge. Ukubwa ni kutokan na maeneo
 
Mfano wake si kwenye ile picha ya anaconda 3, the komodos?
 
Yah huyu ni mnyama hatari zaidi duniani ambae huwezi kumfananisha na hawa wanyama wengine. Yeye jino moja tu kamaliza mechi, haina haja ya kutumia nguvu zake nyingi kupambana na windo.
 
Ama kweli Mungu ana maajabu yake hapa duniani.

Full stop.
 
Ya ni kweli mkuu, ila uhatari unatofautiana kulingana na aina ya mnyama.
Wanyama wote hao wanadhibitiwa na mwanadamu kwa kutupiwa wavu.
Wavu ni kiboko ya mnyama yeyeto mtemi duniani si komodo,koboko,chui,tembo, simba,tiger,puma,nk ni confidence yako na timing yako tu ya kuurusha umekosea we ndo utageuka kitoweo.
 
Ya ni kweli mkuu, ila uhatari unatofautiana kulingana na aina ya mnyama.
Wanyama wote hao wanadhibitiwa na mwanadamu kwa kutupiwa wavu.
Wavu ni kiboko ya mnyama yeyeto mtemi duniani si komodo,koboko,chui,tembo, simba,tiger,puma,nk ni confidence yako na timing yako tu ya kuurusha umekosea we ndo utageuka kitoweo.
 
Hata hilo lilizard likubwa kama komondo linauliwa vizuri tu na nyoka, sema mwisho wa siku nyoka hawezi kugombana nalo maana nilikubwa na linamzidi nguvu, litamuua ila mwisho wa siku nalo litakufa
Ni kama binadam apigane na nyoka
Mnyama pekee ambae ni ngum kwa Nyoka mumuua maana mwili wake una resistant to Venon ni Mangoose
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ashajijua
 
Huyu nafikiri kaumbwa kwa ajili ya kuuwa tu viumbe wengine wakiwemo wanyama, ndege na binadamu. So kwahiyo akishakutia jino tu basi hakuna namna ya kuendelea kuishi au kupata muda wa kuandika usia kwa watoto.
Hana anti venom ila sumu yake sio hatari sana kuwa huwezi kupona, unaweza kupona kwa kutreat zile symtoms
 
Labda anitie ganzi ila lazma nimtukane kmnyk zake ilo nina hakika
Mwamba unataka ufe kishujaa kama 2pac. Pamoja na kupigwa risasi huku akiwa katika hali mbaya, lkn bado aliwapa dole la kati maadui zake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwamba alikuwa mbishi kinoma.
 

Attachments

  • images (24).jpeg
    27.8 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…