Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Sina utaalam wowote mkuu. Watakuja..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina utaalam wowote mkuu. Watakuja..
Kiukweli wanawake wenye makomwe ni wazuri sana sasa sijajua kama ni mimi tu au laKwa wenye uzoefu na malezi/uzazi...
Kila mzazi hutamani shape nzuri ya kichwa kwa watoto wake.
1. Je, ni kweli kuwa 'UTOSI' kufunga mapema sana husababisha komwe (forehead kuwa kubwa)?
2. Je, ni kweli kuwa 'CHANGO LA MTOTO' husababisha komwe?
3. Ni njia zipi (kienyeji au kitaalamu) zinasaidia kuzuia komwe kwa mtoto?
Nawasilisha.
Mimi naona ni sawa tu, kumbe kuna watu wanakereka mnoo daaah, nimeshangaa sanaa.Napenda makomwe,kumbe kwa wengine ni tatizo
Kabla ya kusoma comments, nilimshangaa mtoa mada..Kwani komwe ni ulemavu? Mbona mnapenda ku make big deal out of nothing?
Ni sawa uje kuuliza nini kimafanya mtu awe na kanyagio kubwa au pua kubwa au meno makubwa etc.
Kwan komwe lako linakupa changamoto gani on your daily activities hadi uje kufungulia uzi JF??
Hebu tufocus kwenye tangible issues.
Kabla ya kusoma comments, nilimshangaa mtoa mada..
Na comments nyingi, zimemshangaa pia
Hii ni identity ya people za north. Ni moja ya tabia ya mwanadamu ya kurithi. Huwezi kilikombia wala kuliongeza. Hata hivyo komwe sio ulemavu, ni sawa na tulivyo na watu warefu ama wafupi.Kwa wenye uzoefu na malezi/uzazi...
Kila mzazi hutamani shape nzuri ya kichwa kwa watoto wake.
1. Je, ni kweli kuwa 'UTOSI' kufunga mapema sana husababisha komwe (forehead kuwa kubwa)?
2. Je, ni kweli kuwa 'CHANGO LA MTOTO' husababisha komwe?
3. Ni njia zipi (kienyeji au kitaalamu) zinasaidia kuzuia komwe kwa mtoto?
Nawasilisha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu umeniudhiPole sana mkuu.
Komwe likiwa 'too much' huyo binti yako kuolewa ni hadi atoe hongo ya mtaji Kwa mwanaume. Kidding mkuu [emoji23]
Komwe ndiyo nini
Acha ujinga
Hakuna kitu kinaitwa komwe
Na kama kipo kila mtu analo
Huna hoja
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ni maumbile tu mkuu
Nenda basi kalipasue ulete balaa.Nadhani kunakuwa na kitu hakipo sawa (excessive in something, kitu kama hicho). Kama sio hormonal issue, basi ni defects kwenye ufungaji wa tosi za pande zote mwa kichwa.
Developed countries ni medical issue kabisa.
Kabisa KabisaInasaidia ?
Kuna wanaume wenye komwe??Hii ni identity ya people za north. Ni moja ya tabia ya mwanadamu ya kurithi. Huwezi kilikombia wala kuliongeza. Hata hivyo komwe sio ulemavu, ni sawa na tulivyo na watu warefu ama wafupi.