Konde Gang: Sahau views laki 3 za Ibra ndani ya dakika 1, Harmonize kafikisha views Milioni 1.3 ndani ya sekunde 30

Yow yow koh koh...... jeshiiiiiiiiiiii πŸ˜†
 
Konde Gang for Everybody..... Anawaumiza kichwa hadi nawaonea huruma
Na wewe unaamini kabisa Watu 1.3M wanaweza kutazama video kwa second 13? Maana hii hakuna msanii yoyote duniani mwenye hii record alafu inawezanaje kwenye hao Watu 1.3M walike Watu 4 tu na waliocomment wawe 9 na kusiwe na dislikes kabisa maana hata michael jackson pamoja na kuwa ni kipenzi Cha watu wengi na kutengeneza kazi zilizotingisha dunia lakini video zake pia zina dislikes nyingi tu
 
Kamzidi hata master...
Mkuu, wewe ni mtu wa teknolojia nashangaa ,kuona maoni yako yanafanana na layman hapo juu ambao wengi wanachojua Ni Ushabiki uchwara tu.

Anyway, in short jamaa sasa hivi anasikilizwa sana.

Check mpaka SpotifyπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Sawa anasikilizwa , ko we unakubali view 1.3 ndani ya sekunde 30 , aisee utakuwa bonge la Fala Sana
 
Mkuu yani sekunde 30 mkuu views 1.3 mils mkuu kweli jamani? Band ya BTS ya Korea ndio ilivunja rekodi kwa kuwa na views milion 100 ndani ya siku moja na views milion 10 ndani ya dakika 20.
Sasa kwa mwendo wa harmonize atakuwa kawafunika. Mimi sio shabiki wa upande wowote mkuu ila hapa kuna namna mkuu
 
Hi ni kweli unajua konde ana mashabiki wengi China yani wa china ile nyimbo ya teacher huwa wanaimba wanafunzi kabla ya kuenda madarasani
 
kama zinauzwa na wewe kazinunue
 
Algorithm ya YouTube siyo binadamu.

Watu wanaweza kuview wengi lakini ukashangaa haijaji-update kwenye number.

Hapo issue ni update.

Tatizo kubwa, wabongo wamewekeza sana kwenye kuvunja rekodi ya muda ndani ya muda fulani video itazamwe vipi bila kunua kuwa YouTube Wala hawafanyi kazi hivyo.

Kwanza only genuine views are accounted. Kwahiyo unaweza ukawa na views laki 5 lakini YouTube wakahesabu Ni Laki 4.
 
Ngoja tuone mkuu maana sio mchezo pia mimi kwangu haimake sense ndani ya sekunde 30 upate views mils 2 halafu ipite siku 2 haijafika 2 mls kweli mkuu?
 
Ngoja tuone mkuu maana sio mchezo pia mimi kwangu haimake sense ndani ya sekunde 30 upate views mils 2 halafu ipite siku 2 haijafika 2 mls kweli mkuu?
Haya mashindano ya views kwanza huwa yanatoka wapi na yanasaidia Nini?

Mimi ninachojua Kama una subcribers laki moja.

Ukatoa wimbo, na kika subscriber akapata notification unashindwa kupata views on elfu 60 ndani ya sekunde 36?

Huyo harmonize ana subscriber Milioni 3 plus.

Sasa hicho hicho mnachokiona Kama muujiza Mimi naona Ni kawaida tu.
 
Mkuu sio rahisi hivyo mkuu. MKBH ana subscribers milion 15, lakini unakuta kwa siku akipandisha video ndo anafikisha views mls 1 week ndo inagonga mls 3.
 
Mkuu sio rahisi hivyo mkuu. MKBH ana subscribers milion 15, lakini unakuta kwa siku akipandisha video ndo anafikisha views mls 1 week ndo inagonga mls 3.
Marques Keith Brownlee

Anajua sana yule dogo.
 
Mkuu sio rahisi hivyo mkuu. MKBH ana subscribers milion 15, lakini unakuta kwa siku akipandisha video ndo anafikisha views mls 1 week ndo inagonga mls 3.
As long as ana views hayo inaweza kutokea akapata views kibao.

Mbona hushangai kina John Legend, Sia kupata billions views kwenye baadhi ya ngoma zao wakati ngoma nyingine views wachache?

Labda,. Nikuulize what makes a song go viral?
 
Hiyo ngoma yenye billion ilikuwa international hit mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…