Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe unaamini kabisa Watu 1.3M wanaweza kutazama video kwa second 13? Maana hii hakuna msanii yoyote duniani mwenye hii record alafu inawezanaje kwenye hao Watu 1.3M walike Watu 4 tu na waliocomment wawe 9 na kusiwe na dislikes kabisa maana hata michael jackson pamoja na kuwa ni kipenzi Cha watu wengi na kutengeneza kazi zilizotingisha dunia lakini video zake pia zina dislikes nyingi tuKonde Gang for Everybody..... Anawaumiza kichwa hadi nawaonea huruma
Mkuu, wewe ni mtu wa teknolojia nashangaa ,kuona maoni yako yanafanana na layman hapo juu ambao wengi wanachojua Ni Ushabiki uchwara tu.Kamzidi hata master...
Sawa anasikilizwa , ko we unakubali view 1.3 ndani ya sekunde 30 , aisee utakuwa bonge la Fala SanaMkuu, wewe ni mtu wa teknolojia nashangaa ,kuona maoni yako yanafanana na layman hapo juu ambao wengi wanachojua Ni Ushabiki uchwara tu.
Anyway, in short jamaa sasa hivi anasikilizwa sana.
Check mpaka Spotify👇👇👇
View attachment 2186328
View attachment 2186329
Mkuu yani sekunde 30 mkuu views 1.3 mils mkuu kweli jamani? Band ya BTS ya Korea ndio ilivunja rekodi kwa kuwa na views milion 100 ndani ya siku moja na views milion 10 ndani ya dakika 20.Mkuu, wewe ni mtu wa teknolojia nashangaa ,kuona maoni yako yanafanana na layman hapo juu ambao wengi wanachojua Ni Ushabiki uchwara tu.
Anyway, in short jamaa sasa hivi anasikilizwa sana.
Check mpaka Spotify👇👇👇
View attachment 2186328
View attachment 2186329
kama zinauzwa na wewe kazinunueViews milioni 1.3 hizo ndani ya sekunde 30😳😳 ..... Koh koh koh, Konde gang mziki umewashinda kihivyo mpaka mnunue views bila kificho wala kucheza na timing ?
Hii pia ilifanyika kwa wasanii wengine wa Konde gang kama Ibrah alipata views Laki 3 ndani ya dakika moja na Killy nae aliweza kupata views milioni 1 ndani ya saa moja tu,,,
View attachment 2185515
Ni masaa mawili yamepita ila views haziongezeki, ni ushahidi tosha hizo views milioni 1.3 zimenunuliwa, views za kweli zinakngia taratibu sana.
View attachment 2185518
Tena paa la makutiMiziki wa Tanzania unapaa.
Algorithm ya YouTube siyo binadamu.Mkuu yani sekunde 30 mkuu views 1.3 mils mkuu kweli jamani? Band ya BTS ya Korea ndio ilivunja rekodi kwa kuwa na views milion 100 ndani ya siku moja na views milion 10 ndani ya dakika 20.
Sasa kwa mwendo wa harmonize atakuwa eand awl. Mimi sio shabiki wa upande wowote mkuu ila hapa kuna namna mkuu
Ngoja tuone mkuu maana sio mchezo pia mimi kwangu haimake sense ndani ya sekunde 30 upate views mils 2 halafu ipite siku 2 haijafika 2 mls kweli mkuu?Algorithm ya YouTube siyo binadamu.
Watu wanaweza kuview wengi lakini ukashangaa haijaji-update kwenye number.
Hapo issue ni update.
Tatizo kubwa, wabongo wamewekeza sana kwenye kuvunja rekodi ya muda ndani ya muda fulani video itazamwe vipi bila kunua kuwa YouTube Wala hawafanyi kazi hivyo.
Kwanza only genuine views are accounted. Kwahiyo unaweza ukawa na views laki 5 lakini YouTube wakahesabu Ni Laki 4.
Haya mashindano ya views kwanza huwa yanatoka wapi na yanasaidia Nini?Ngoja tuone mkuu maana sio mchezo pia mimi kwangu haimake sense ndani ya sekunde 30 upate views mils 2 halafu ipite siku 2 haijafika 2 mls kweli mkuu?
Mkuu sio rahisi hivyo mkuu. MKBH ana subscribers milion 15, lakini unakuta kwa siku akipandisha video ndo anafikisha views mls 1 week ndo inagonga mls 3.Haya mashindano ya views kwanza huwa yanatoka wapi na yanasaidia Nini?
Mimi ninachojua Kama una subcribers laki moja.
Ukatoa wimbo, na kika subscriber akapata notification unashindwa kupata views on elfu 60 ndani ya sekunde 36?
Huyo harmonize ana subscriber Milioni 3 plus.
Sasa hicho hicho mnachokiona Kama muujiza Mimi naona Ni kawaida tu.
Marques Keith BrownleeMkuu sio rahisi hivyo mkuu. MKBH ana subscribers milion 15, lakini unakuta kwa siku akipandisha video ndo anafikisha views mls 1 week ndo inagonga mls 3.
Hata wakina Adele hawafikii rekodi ya Konde.Konde Gang for Everybody..... Anawaumiza kichwa hadi nawaonea huruma
As long as ana views hayo inaweza kutokea akapata views kibao.Mkuu sio rahisi hivyo mkuu. MKBH ana subscribers milion 15, lakini unakuta kwa siku akipandisha video ndo anafikisha views mls 1 week ndo inagonga mls 3.
Sana namkubali kinoma.Marques Keith Brownlee
Anajua sana yule dogo.
Hiyo ngoma yenye billion ilikuwa international hit mkuu.As long as ana views hayo inaweza kutokea akapata views kibao.
Mbona hushangai kina John Legend, Sia kupata billions views kwenye baadhi ya ngoma zao wakati ngoma nyingine views wachache?
Labda,. Nikuulize what makes a song go viral?
Anyway, poaHiyo ngoma yenye billion ilikuwa international hit mkuu.b