Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

Kwenye hii ishu wote ni wapuuzi tu sio wasafi wala kondegang. Huku ibra na harmonize kule kina rayvany wote wanatupiana vijembe na kutungiana nyimbo za mipasho. Ni kupenda kuongelewa tu hakuna kingine aliejirekodi na walopost wote akili sawa tu huwezo kumdhalilisha mwanaume mwenzio namna hoyo hawa machalii ustaa unawazuzua sana.

Wote wana ngoma zinatrend mtaani wanaacha kuzipa promo kazi zao wanakalia huu ushubwada hauna kichwa wala miguu.

Na harmonize aangalie sauti yake, aisee moshi unaharibu saut yake adhimu ana mashairi mazuri sana ila sauti inaelekea kumsaliti sahau kuhusu pumzi. Apunguze uraibu wa haya madude anaharibu sauti.
 
Usisahau mmoja alikuwa analipa kisasi hapo.
 
Yes Hana management yenye akili hajui afanye lipi na aache lipi. Mahusiano na kajala pamoja na kureact vibaya kwenye kesi ya rayvanny vimemshusha sana

Pia hata suala la kusign na kuwatambulisha wasanii amefeli sana. Alitakiwa kutambulisha mmoja baada ya mwingine Kama amabavyo wengine wanafanya ili kuhakikisha Kila msanii anasimama.

Anahitaji management inayoeleweka na itakayomtawala na kumfanya awe mkubwa
 
Mimi nafikiri huyu kijana anahitaji ushauri nasaha na pia Kama Kuna kitu anatumia aache Mara moja tutamkosa huyu jamani.
 
Kweli kabisa Boss sisi tunaompenda lazima tupaze sauti kumtakia mema bila hivyo ataangamia kabisa sababu yeye ni msanii mwenye kipaji .
 
Usisahau mmoja alikuwa analipa kisasi hapo.
Haijalishi wote ni wapuuzi tu mkuu.
Mwenye hekima alipaswa kumpuuza mwingine kujibu ni kudhihilisha na wewe ni mmoja wa wapuuzi.

Sijui kama mondi kasema chochote ila huyu jamaa mala nyingi anaposemwa vibaya kwa skendo huwa anakaa kimya sabahu hii kujibu jibu ndo inakuonesha jinsi gani uko empty kichwani. Na kiba nae ni moja ya watu wanaokaaga kimya sana kwenye ishu za skendo hizi ni mara chache kuibuka kujibu vijembe, inatokea sometimes na wao kujibu ila sio mala nyingi na kuendelea kujibizana mpaka kudhalilishana namna hii.

Upuuzo huu mkuu
 
Tatizo watu ukisema ukweli/kutoa maoni yanayoonesha kama kumpinga mtu wanahisi basi wewe ni team fulani.

Kuna wasanii mtu hupendi wapotee wana vipaji inabidi kusema ukweli tu sio kuwapamba wakati wanaharibu.
Kweli kabisa Boss sisi tunaompenda lazima tupaze sauti kumtakia mema bila hivyo ataangamia kabisa sababu yeye ni msanii mwenye kipaji .
 
vibaya vs nyamaza zimetoa jibu naji ni mkali katika writing na singing.....
Kwa upande wangu vibaya, melody iko poa kuliko nyamaza ila vany kuandika na kuimba anamuacha mbali kondeboy hilo tuache unafki aisee.

Kwasababu kondeboi hubadilika kwenye nyimbo zake chache tofauti na mwenzie na hata idea za nyimbo vany ana idea nying tofauti tofauti. Jaribu tu kuskiza ngoma zao ambazo kila mtu kaimba peke yake.

WOTE NI WAKALI waache tu huu udwazi umeniboa kinoma

Naona nae ibra kaingilia katoa ngoma boko kishenzi huyi dogo nae bna
 
Na mbaya zaidi paula kaanza tafunwa kabla ya mama
 
Nimeishia njiani kusoma

Nataka nikuulize swali ule uzalishaji wa ovyo wa mond sio long term effect kwenye kiki zake???

Punguza mahaba ilo ni moja tu kati ya mengi aliyofanya mondi juzi tu kamkana baba ake...ngoja niishie hapa
 
Ray analia huko maana kakuta bwawa kwa paula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…