Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 466
Mimi shabiki wa harmonize ila lazima tuseme ukweli jamaa anapotea huwez shindana na watu waliokuzidi kila kitu ni bora atulie afanye mziki Kiki na kashfa zitamshusha.Lazima apotee? wao kama kina nani? Ridhiki anatoa Mungu......ukiona kuanzia uncle shamte,aristote,lukamba,uncle shamte, Sallam sk, babalevo na rayvanny wote wanamuandama mtu mmoja ujue wanaumia sana na jamaa.....
ukitaka kujua jamaa ni mkali hebu sikiliza Vibaya na nyamaza utajua harmonize anawaumiza sana....
Alafu unasema wewe shabiki wa Harmonise kweli inaandikwa hivo? Ila wasafi haujakosea......
apart from Diamond nani anamzidi Harmonize pale wasafi?Mimi shabiki wa harmonize ila lazima tuseme ukweli jamaa anapotea huwez shindana na watu waliokuzidi kila kitu ni bora atulie afanye mziki Kiki na kashfa zitamshusha.
mkuu wewe unaona nani mjanja mpaka sahizi kati ya ray vanny na Harmonize?Kuna silka ya ushamba flani harmo anayo na hilo ndio litakalomfelisha .Tatizo wabongo baadhi yao wanamsapoti sababu hawawapendi WCB sio kwamba wanampenda harmo na hao ndio watakuwa wa Kwanza kumgeuka Mambo yakisha mchachia awe makini Vita bila ya akili matokeo yake ni mabaya.
Tatizzo la harmo sio kipaji Yuko vzuri ndio maana namshabikia tatizo anaendeshwa na watu ambao wengine hata darasa la Saba hawajafika ndio washauri wake na jambo baya zaidi anapenda Sana sifa za kijinga anajisahau.kufikiri kuendeleza bifu na WCB ndio njia ya kuzidi kumtangaza au kumweka kwenye trend ni ujinga mwingine ambao anapaswa kuuacha wale watu wanaakili nyingi na wapo wengi kila Kona na wanaumoja Sana.Anatakiwa afocas ktk kazi na apotezee baadh ya Mambo ajifunze kwa Alikiba .mkuu wewe unaona nani mjanja mpaka sahizi kati ya ray vanny na Harmonize?
huyo rayvanny anashindwa saidia mama ake mbeya anahonga sluts ziende dubai huo sio ushamba?
Achana nao hao mashabiki maandazi..wasafi wameicheza game yao kwa akili nyingi sana always hawaruhusu damage kwenye brand yao.Jomba comments zako zinaonesha umekariri maisha ya wcb ya kiki bila kuelewa ni wakati gani na matukio gani wanatumia kama kiki, kifupi we hizi kiki umezijulia kwa hao hao WCB ila hukuelewa somo. Wale sio viazi waachie hiyo video alafu wasijue kwamba harmonize atapata umaarufu kipindi hiki, wanacholenga ni long term effect yani hizo video na hii kashfa zitaendelea tu kumuandama harmonize leo, kesho na kesho kutwa. Hio sio kiki ambayo yeye mwenye harmonize anaitaka ingawa ametoa wimbo kuzuga kwamba anautumia hii scandal kama kiki ya muziki. Unafikiri anapenda ulimwengu kuona na kujadili maumbile yake? Unafikiri wcb na harmonize hawajui huu umaarufu wa muda una gharama kubwa?
hao watu kina nani mkuu unajua Jembe ni jembe ni nani? na anaelimu gani?, unajua Mjerumani manager wake anaelimu gani?Tatizzo la harmo sio kipaji Yuko vzuri ndio maana namshabikia tatizo anaendeshwa na watu ambao wengine hata darasa la Saba hawajafika ndio washauri wake na jambo baya zaidi anapenda Sana sifa za kijinga anajisahau.kufikiri kuendeleza bifu na WCB ndio njia ya kuzidi kumtangaza au kumweka kwenye trend ni ujinga mwingine ambao anapaswa kuuacha wale watu wanaakili nyingi na wapo wengi kila Kona na wanaumoja Sana.Anatakiwa afocas ktk kazi na apotezee baadh ya Mambo ajifunze kwa Alikiba .
Wale ni wafanya biashara watu ambao kazi yao ni kuandaa show zake na anapokuwa na project wanazisimamia .Mimi namaanisha wale chawa na kunguni wanaomzunguka ambao kwa kiasi kubwa ndio washauri wake wakuu kuhusu Kiki na Mambo ya mitandao wengi wao hamna kitu kichwan Kama utakubaliana na Mimi unajua dr.kumbuka ashawah kuwa msemaji wa kondegang hivi unapata taswira gan hapo?hao watu kina nani mkuu unajua Jembe ni jembe ni nani? na anaelimu gani?, unajua Mjerumani manager wake anaelimu gani?
Anajiharibia mwenyewe, akili kisoda makelele ya insta yanamchanganya afikirii kwa upanaAndika wewe ndio unataka kumuharibia career yake, ila mmeshindwa. Mna ujinga sana wasafi.
Kweli leo hii Harmonize asimsikilize mjerumani na Jembe amsikilize dr.kumbuka mkuu?Wale ni wafanya biashara watu ambao kazi yao ni kuandaa show zake na anapokuwa na project wanazisimamia .Mimi namaanisha wale chawa na kunguni wanaomzunguka ambao kwa kiasi kubwa ndio washauri wake wakuu kuhusu Kiki na Mambo ya mitandao wengi wao hamna kitu kichwan Kama utakubaliana na Mimi unajua dr.kumbuka ashawah kuwa msemaji wa kondegang hivi unapata taswira gan hapo?
Binamuuu achaaaa!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3]!!!!Wanawake tumependa tumefurahishwa tutamsapoti hamo[emoji12]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]kaka punguza stress life is too short!!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]konde boyy oyeeee!!!Limekuwa refu sababu kila mara unarudia ujinga wako.
anakula unga.Mimi nahisi kunakilevi anatumia huyu bwana sio bure.
Binamu Video zinagoma Pm dear !ila ana duduuuu balaaaa!![emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Ikwapi jamani yani nimekua kama kimbwa kile cha tatu, dogi wakiwa wanafanya yao kuna kimbwa pembeni kinakuaga na wenge.... ndio mimi sasa nikiskia hizi story.
Naomba link nijionee
Balaa yaani wale species wapo few ktk hiii nchiUnganisha mboo ya daimond,rayvan,Romy,salam,baba levo yaan wcb wotee hawamfikii Harmo [emoji23][emoji23][emoji119]
Hahahaa!!vunja jungu mujaraabu kabisaaaKweli konde atakimbiliwa na wadada, maunbile hayo wanayo wamasai