Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

Sory ndio nani huyo au mbunge wa wapi
 
Kajala nae sio wa mchezo nilisikiaga, kanyau alizamisha loote kwa kajala, na kanyau ana zigo la punda eti....mke wake alisemaga eti ana bor0 refu kama uzi [emoji23][emoji23][emoji23] ila kajala akalishughulikia
Bongo kuna mambo.
Nakumbuka Kanyau nae hatwaaari!!!Ila nimegundua ndo maana wolper ananuna kumbe hogoooo analimis!!!mweee
 
Kweli leo hii Harmonize asimsikilize mjerumani na Jembe amsikilize dr.kumbuka mkuu?
Sasa Kama anawasikiliza ni kweli angefanya huo ujinga aliofanya wa kuonesha tupu yake akijichua unataka kunambia huo ni ushauri wa jembe ni jembe kuwa atukane watangazaji na kuwatisha ?hayo ni Mambo yakinamwijaku ambao ndio wanampa mbinu za kutengeneza Kiki.
 
Ni lini Basata itakuwa na program za kupima afya za wasanii, maana vijana wetu wanaangamizwa na ngono, unga na uchovu wa shoo nyingi.?
 
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]woiiiii!!!upewe ulinzi na sanamu la tembo lijengwe Dodoma Makao ya nchi CBE paleee!!!
 
Jinsi wadada wa Jf wanavyoshadadia mikuyenge mizito na mirefu sisi vibamia tumejikunyata kwa huruma kama vile tumenyeshewa mvua.
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji75][emoji75][emoji75][emoji75][emoji75][emoji75][emoji75]
 
Kama unahitaji kazi njoo DM maana vijana wengi humu inaonekana hamna kazi
 
Jaman wadau kibaa cku hzi yuko wapi maana harmonize toka atoke wcb amempoteza kiba kbs
 
Yote kwa yote, Hamonaizi ana mashine siyo ya kitoto! Umefulia Sana , niwapongeze waliokanyagwa na huyu mmakonde maana hata asipoimba mziki akienda marekani akacheza zile videos atakuwa tajiri Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…