Kondomu za siku hizi ni ndogo hazitoshi kwenye uume

Condom zanini tena love kavu ndio tamuuuuu banaaaaa .Mnacheki afya kisha mnapeana mautamu kwaraha zenyuu!
Kwahiyo unaenda kumpima UTI, gono, h.i.v halaf ndio mnaenda kula show?? 😂😂😂.
DAahhh kwel hapo lazima uwe serious sana na maisha yako
 
Kwani ngono ni ugali? Kwani lazima kufanya ngono? Madhara ya ngono ni makubwa sana kama si kwako basi kwa familia na kizazi chako
 
Ndom zinazouzwa Cameroon haziwez fanana na zinazoletwa bongo ...wameangalia kigezo Cha size
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…