The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Sasa wewe umetoa hoja gani zaidi ya kuonyesha upunguani wako humu?Leo utatukana Sana, kuonyesha level yako ya akili, hoja hujibiwa kwa hoja sio tu mgumba Niko menopause kabisa
Binafsi naona walivyoendelea na Ratiba yao kama kawaida wamefanya vyema zaidi. Kuonesha kuwa Tanzania ni Nchi huru na hakuna anayeingilia Imani ya Mwenzie.Hao wa msikiti si wasingetumia hzo speaker kwa leo tu
Andika tu Kiswahili acha kuharibu lugha za watu.Umekuja na matusi tu why waste my team dealing with low iq,[emoji23][emoji23]hafu zile I'd nyingine umeacha wapi loh kumbe hii ya kutetea dini yako na kutukana
anaonekana hivo mkewe na watoto wake ni matumaini they are proud juu yakeUhuru ana hekima sana.
anaonekana hivo mkewe na watoto wake ni matumaini they are proud juu yake
aaamynAllah amjaalie aione haki
Mkuu kabisa nimependa sana ile Ni Heshima kubwa aliofanya na ukizingatia ni Rais pia ni mkristo na yupo katikati ya hotuba.aliposikia azana tu akatulia kimya hii ndiyo maana hasa ya kumuheshimu MUNGU. Kaonyesha mfano mzuri sanaNimemwelewa Sana Kenyata,Kaonesha HESHIMA Kubwa Sana Kwa Wenzetu Waislam!
Tumepewa Funzo Kubwa Sana na Jirani Yetu Huyu.
Wasitumie kwa sababu ya ipi? Jambo la kiibada lisifanyike kwa sababu ya mwanadamu kufa?Hao wa msikiti si wasingetumia hzo speaker kwa leo tu
Achana na mpuuzi huyo.anajulikana anashindwa kukubali ile Heshima aliyoonyesha kenyata.Adhana unaiita NOISE kweli? Hata kama si imani yako lakini kuita adhana ni KELELE si uungwana.
Ahhahahah umewaza kama Mimi! Jamaa hajajali cha viongozi wala nini! Katandika adhana tena kipaza sauti kikielekezwa uwanjani.Aiseee huo msikiti una majasir sn duh kwa hali ilivyo Dodoma upige adhana saiz mmmh
Na mkiimba kwa sauti wanakwambia hatulali kwa makeleleWangekuwa wao sasa, ungesikia Makafiri hayo, yanatupigia kelele.
Takbiiiiir!
Mpaka aseme? Alafu unasema hii dini bwana. Kwa taarifa siyo Mara ya kwanza anafanya hivyo. Ikishushwa bendera sababu Kuna virungu unasimama. Hipo hivi Mkuu kwa nafasi aliyonayo Rais kenyata na Heshima aliyofanya ni Jambo kubwa sana na funzo na mfano mzuri wa kuigwaWaislam mnapenda kujali vitu vidogo vidogo sana.
Nimeona vijana twitter wakifurahi sana.
Kwani kuna sehemu amesema alinyamaza kwa ajili ya adhana? Labda alikua ameshikwa na kitete cha msiba, maumivu, heshima kwa marehemu.
Jamaa alikua anagugumia maumivu ya msina nyie mlishakimbilia eti ameheshimu adhana, adhana?
Hii dini bwana.
Waislam mnapenda kujali vitu vidogo vidogo sana.
Nimeona vijana twitter wakifurahi sana.
Kwani kuna sehemu amesema alinyamaza kwa ajili ya adhana? Labda alikua ameshikwa na kitete cha msiba, maumivu, heshima kwa marehemu.
Jamaa alikua anagugumia maumivu ya msina nyie mlishakimbilia eti ameheshimu adhana, adhana?
Hii dini bwana.
Kwa hiyo uwezi kuheshimu mzazi wa mtu mwingine sababu ajakuzaa siyo? We dada mbona una Fuvu bovu kiasi hiki?Wewe tumia akili umeelewa nilichoandika kweli, au upofu wa dini unakufanya usitumie akili.
Mimi sina wazazi nina jiwe ndo lililo nizaa wewe uliyezaliwa na binadamu hutaki kusikia kitu cha tofauti huoni wewe ni tatizo. Hafu sio unachoamini wewe wengine wanaamini na kukijua ndio maana nikasema ni kelele kwangu. Au na wewe wazazi wako walipata division five hadi na wewe huelewi
Vingine nikutumie hekima, ibada hata mashetani wanafanyaWasitumie kwa sababu ya ipi? Jambo la kiibada lisifanyike kwa sababu ya mwanadamu kufa?
Nyie watu mumevuta bangi za dini mbona mnaandika vitu havieleweki, msinichoshe na imani zenu,sija force mtu aamini tofauti na mimiKwa hiyo uwezi kuheshimu mzazi wa mtu mwingine sababu ajakuzaa siyo? We dada mbona una Fuvu bovu kiasi hiki?
Mbona hapo ni kiswahili nimeandika una makengeza ya ubongo weweAndika tu Kiswahili acha kuharibu lugha za watu.
Sasa hapo umepata somo gani zaidi ya ukiwa wahutubia kukitokea distraction una pose kidogoBinafsi naona walivyoendelea na Ratiba yao kama kawaida wamefanya vyema zaidi. Kuonesha kuwa Tanzania ni Nchi huru na hakuna anayeingilia Imani ya Mwenzie.
Pia wangesitisha kutumia hizo Spika Kwa Jana tungekosa kujifunza somo alilotupatia Rais Kenyata.
Kudos Mr. Uhuru Kenyatta.
Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app