The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Sasa wewe umetoa hoja gani zaidi ya kuonyesha upunguani wako humu?Leo utatukana Sana, kuonyesha level yako ya akili, hoja hujibiwa kwa hoja sio tu mgumba Niko menopause kabisa
Hujajishtukia tu kua umegeuka kituko kwenye hii thd na kila mtu anakuona hamnazo?
Unaonekana umelelewa kwenye malezi ya hovyo sana na maisha yamekupiga huna pakutokea,
Unajaribu kupata relief hapa kwa kuandika matapishi yasiyo na kichwa wala mguu,
Siku nyingine jaribu kukaa kimya ili kuficha upumbavu wako.