Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

kuna misingi fulani ya kiislamu ambayo kamwe haiwezi kubadilika wala kuvunjwa, kuitana katika ibada kwa kupitia adhana ni mojawapo. wataendelea kuitana kwa mtindo huo hata milele
Unataka kusema mtindo huu wa kuazini kwa kutumia vipaza sauti na spika ulikuepo tangu karne ya 17 yaani miaka ya 1600s
 
Kule somalia kwa al shabaab ukisikiia hazana hata kama una jisaidia yaan chap kwa haraka sitisha na kimbilia msikitin ole wako usiende wanapigwa bakora za kutosha ...niliona ktk documentary
 
Adhana unaiita NOISE kweli? Hata kama si imani yako lakini kuita adhana ni KELELE si uungwana.
 
Mm nakumbuka mwaka flan kipindi cha nyuma sana nilikuwa na girlfriend muslim bac iyo azana siku moja ina pigwa sie tuko busy tuna shiriki tendo
Haha!!! Mkuu unanikumbusha mbali sana....azana inaendelea we unakitafuta cha alfajiri...Mungu atusamehe.
 
Ndiyo.
Nimependa speech Yake..anajua kuongea kwa busara Sana
 
Kabisa mimi sikuekewa kwa nini Kenyatta kasitisha hotuba yake, kumbe ni baada ya kusikia adhana. Sijawahi kushuhudia hili jambo kwa viongozi wetu hapa Tanzania. Hii ni mara ya kwanza labda naomba ushuhuda wa wengine.

Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kutoa somo!
 
Respect...wa kibongo angeendelea.
 
Waislam mnapenda kujali vitu vidogo vidogo sana.

Nimeona vijana twitter wakifurahi sana.

Kwani kuna sehemu amesema alinyamaza kwa ajili ya adhana? Labda alikua ameshikwa na kitete cha msiba, maumivu, heshima kwa marehemu.

Jamaa alikua anagugumia maumivu ya msina nyie mlishakimbilia eti ameheshimu adhana, adhana?

Hii dini bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…