Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Aiseee huo msikiti una majasir sn duh kwa hali ilivyo Dodoma upige adhana saiz mmmh
👍👍🤣🤣lazima niseme ukweli, huyu raisi kijana, Kenyatta, yuko vizuri sana kichwani.....vizuri sana. halafu ni mjanja mjanja fulani, sio mshamba!!
alichokifanya leo ni funzo kubwa kwetu, wakristo na waislamu.
Hakuna shughuli muhimu kuliko IBADA ndugu yangu.Wamechemka hapo msikitini aisee kwa kweli shughuli ilikuwa muhimu, sio adhana kwa nguvu
Wewe unataka Takbir itangazwe?Jamaa wapo serious sana wanapomuomba mungu wao!Hao wa msikiti si wasingetumia hzo speaker kwa leo tu
Tumia hekima na busara kwny imani za wengine itakua poa zaidiWengine hawajui hzo imani pia na huyo mwadhini angetumia akili za kuvukia barabara na sio kupayuka misibani
Na wewe jifunze kuheshimu maoni ya wengine it's a free world and choice usitake tufananeTumia hekima na busara kwny imani za wengine itakua poa zaidi
Kila mtu huwa yuko serious na kusali mbona, au wewe huwa una joke mwenzangu, kwa jinsi ninavo comments humu wataweza andamana nimemtukana Mungu waoWewe unataka Takbir itangazwe?Jamaa wapo serious sana wanapomuomba mungu wao!
Ndio tupigiane kelele aisee, sio msikitini hata Church inabidi vifungwe vifaa vya kutokutoa SAUTi, najua wanafiki watanishambuliaHakuna shughuli muhimu kuliko IBADA ndugu yangu.
Bwana wewe ndo una mihemko kisa dini hadi washindwa tumia akili watumia hisia tuFuata ushauri niliokupa acha kukata viuno hapa kwa kutafuta sifa za kijinga,naona hii mada imekuchoma kama Pasi,vumilia tu ndio imesha tokea au endelea kuyasikilizia maumivu.
Kwahiyo adhana ni kelele? CHUNGA MANENO YAKO.Ndio tupigiane kelele aisee, sio msikitini hata Church inabidi vifungwe vifaa vya kutokutoa SAUTi, najua wanafiki watanishambulia
Kelele zote zisizo stahili ni environmental pollutionKwahiyo adhana ni kelele? CHUNGA MANENO YAKO.
Jioni njema.