Korea kaskazini imeshindikana, haiwezekani, yaonesha silaha mpya

Hapo point ni moja tu,

Russia and China won't allow US awe mpakani mwao yaani avamie n. Korea basi.

Izo nyingine zote ni conspiracy.
 
Hapo point ni moja tu,

Russia and China won't allow US awe mpakani mwao yaani avamie n. Korea basi.

Izo nyingine zote ni conspiracy.
 
N. Korea uwezo Wake kivita ni wakawaida sana.
Sema Inakua overrated sana.

Inapewa sifa ambazo haina.
 
Embu nenda Korea kamwambie usoni hivyo bwana Kim ..halafu yey atakuonyesha kama ni real au fake ..ila ukiondoka aga nyumbani kabisa kua haurudi tena
Mkuu hao jamaa waongo waongo Sana. Hapo anataka Biden aogope Hilo pipa lake jeusi aje wafanye mazungumzo aondolewe vikwazo ndo lengo.

Nchi zilizo katika sanctions ziko desperate Sana, huoni Kim alivyokua Mpole kipindi anafanya mazungumzo na trump??
 
N. Korea uwezo Wake kivita ni wakawaida sana.
Sema Inakua overrated sana.

Inapewa sifa ambazo haina.
Hata sisi tukiachana na migogoro ya ndani ya usiasa na ushabiki wa kuipenda korea tukaji organize vizuri mbona huyo kiduku anasanda mapema tu
 
Hapo amna kombora.

saa nyingine huwa wanaweka mapipa wanapaka rangi wanaweka juu ya gari hizo ili kupata sifa kwa raia.

Tunaita show-off au wa Iran wanasema for television purpose.
Wee, watu wanapeleka satellite angani wenyewe ...ndo uje uwabeze .

Achana namambo ya Kupaka makopo.

Inamaana huwa huoni wakifanyia majaribio makombora yao???.
 
Kinacho fanya Marekani asiishambulie Korea Kaskazini ni kwamba Korea Kusini na Japan zitakuwa target kuu, sasa na Japan na Korea Kusini hazitaki kuwa target,
 
German hapana, pia umemuacha India na pakistan
 
Mkuu hao jamaa waongo waongo Sana. Hapo anataka Biden aogope Hilo pipa lake jeusi aje wafanye mazungumzo aondolewe vikwazo ndo lengo.

Nchi zilizo katika sanctions ziko desperate Sana, huoni Kim alivyokua Mpole kipindi anafanya mazungumzo na trump??
Yale yaliyokuwa yana katiza anga la Japani ni mwanga wa tochi pengine? Adi mavingora yakawa yana toa onyo kuwa dude linapita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…