Korea Kusini: Ndege iliyobeba watu 181 yaacha njia na kugonga ukuta na kuua zaidi ya Watu 167

Ina maana mafuta ya ndege huwa ni rahisi kushika moto na yamekaa sehemu nyingi za ndege? Kwa sababu, asilimia kubwa ya ajali ya ndege inayohusisha kujibamiza sehemu ikitokea lazima iwake moto. Mfano hiyo imegonga mbele lakini imewaka moto!

Wakipata ufumbuzi wa kuzua moto kwenye ajali ya ndege watakuwa wananusuru maisha ya abiria kwa sababu kinachowaua abiria kwenye ajali ya ndege huwa ni moto naona
 
Landing speed ya Boeing 737 ni kati ya 220 hadi 260 km/hr. Jaribu kuwaza gari katika speed hiyo lijibamize mahali; hatoki mtu humo. So, hata zisingekuwa zinawaka moto still kwa speeds hizo impacts ni kifo tosha.
 
Jeju Air Boeing 737-800.

Usafiri wa ndege ni usafiri salama lakini ikitokea ajali uwezekano wa kupona ni mdogo sana.
FB_IMG_1735454690222.jpg
FB_IMG_1735454693753.jpg
 
Ndege za Boeing zina shida mahali maana zimehusika katika ajali nyingi za miaka ya hivi karibuni na kama zingekuwa zinatengenezwa nje ya Marekani wangeshatoa kauli kuziharibia soko.
Inaweza kuwa kweli na inaweza kuwa ni bahati mbaya tu katika mambo ya biashara. Dc 10 kwa mfano ilianza huduma na mabalaa ya ajali hadi ikapewa jina la flying coffin, kampuni iliyounda ndehe hiyo haikuwahi kunyanyuka tena kiuchumi toka ilipofilisika, lakini baadaye dc ilikuja kufanyiwa marekebisho kadhaa na ikawa ndege salama hadi mwisho wa maisha yake.
Airbus kwa sasabni ndege salama sana, lakini kuna baadhi ya components airbus na boeing wana source kutoka kwa manufacture mmoja
 
Ina maana mafuta ya ndege huwa ni rahisi kushika moto na yamekaa sehemu nyingi za ndege? Kwa sababu, asilimia kubwa ya ajali ya ndege inayohusisha kujibamiza sehemu ikitokea lazima iwake moto. Mfano hiyo imegonga mbele lakini imewaka moto!

Wakipata ufumbuzi wa kuzua moto kwenye ajali ya ndege watakuwa wananusuru maisha ya abiria kwa sababu kinachowaua abiria kwenye ajali ya ndege huwa ni moto naona
Aircraft are like flying fuel tanks with seats. Hakuna namna moto unaweza zuilika kwenye ajali za ndege. Kumbuka haya ni mafuta yanayoweza kufanya combustion huko juu futi 39000 ambapo hakuna oxygen kabisa,
 
Hatua ya kupaa na kutua kwa ndege ndipo kuna hatari kubwa ya kutokea ajali...
Kutua ndo kuna balaa zaidi, kwemye kupaa kunakuwa na tests nyingi sana zinafanyika na hadi ndege inaingia kwenye runway kila kitu kinakuwa sawa labda engine tu izingue, kwenye kutua hakuna test tena ninkwamba kila kitunkinatakiwa kifanye kazi na hakuna room ya maintenance.
 
Inaweza kuwa kweli na inaweza kuwa ni bahati mbaya tu katika mambo ya biashara. Dc 10 kwa mfano ilianza huduma na mabalaa ya ajali hadi ikapewa jina la flying coffin, kampuni iliyounda ndehe hiyo haikuwahi kunyanyuka tena kiuchumi toka ilipofilisika, lakini baadaye dc ilikuja kufanyiwa marekebisho kadhaa na ikawa ndege salama hadi mwisho wa maisha yake.
Airbus kwa sasabni ndege salama sana, lakini kuna baadhi ya components airbus na boeing wana source kutoka kwa manufacture mmoja
Mkuu kuna jambo hapa, hii ni Boeing 737-800 nyingine iliteleza na kutoka nje ya runway chini ya saa 12 kabla ya hiyo ajali ya Korea, haikuwa habari kubwa kwa sababu haikuleta vifo

1000017950.jpg
 
View attachment 3187574
Duu basi boeing litawakuta jambo. On serious note pilots wanatofautiana sana ubora kutokana na safety procedures za makampuni ya ndege Quantas ya Australia wana safety records za juu sana nafikiri wamepata ajali moja tu toka waanze biashara.
Kabla ya zile ajali mbili za 737 max kuna pilots kadhaa huko Usa waliwahi kukutana na matukio ya mcas lakini kwa umahiri wao waliweza ku outsmart ndege na wakatua salama bila majanga , mmoja wa pilot aliwandika email boeing akiwaelezea mapungufu ya mfumo ule na akasema kama boeing hawatafanyia kazi utakuja kuleta ajali
 
Back
Top Bottom