Korea Kusini: Ndege iliyobeba watu 181 yaacha njia na kugonga ukuta na kuua zaidi ya Watu 167

Kampuni ya Boeing inaweza kuwa ndo mwanzo wa mwisho wake, tayari makampuni mengi ya usafirishaji wame cancel order za kununua boeing na kwemda kununua airbus, hizi ajali ndoz zinazidi kubomoa reputation ya boeing
Upo saaiii
 
Ndege za Boeing ndio nyingi duniani, hata itakapofika muda Airbus ni nyingi zaidi itakuwa hivi hivi
 
A
AYA WASEME TENA PUTIN KENGE MAJI AWA MINDEGE YAO INAUDWA NA MASHOGA APO KUNANINI !!! ZAID YA KILIO !!!!
 
Engineering haitaki janja janja ,tangia hawa wapuuzi wa Boeing walipofanya figisu za kuua wale whistle blowers waliokuwa kwenye ile kesi ya Boeing kukiuka standard za uzalishaji wa hizo ndege , sijui ile kesi imefikia wapi , maana wale jamaa wengi wameuawa na hawa mamafia wa Boeing .
Boeing ni takataka kwa sasa ,kuna issues nyingi za kitaalamu na usalama kwa ndege wanazozalisha
Wapuuzi hawa
 
Tatizo unapokata tiketi hupewi uhuru wa kuchagua aina ya ndege. Unakuja kuona kwenye tiketi tu; Vessel: Bombardier Dash-8!
 
Sam
Aircraft are like flying fuel tanks with seats. Hakuna namna moto unaweza zuilika kwenye ajali za ndege. Kumbuka haya ni mafuta yanayoweza kufanya combustion huko juu futi 39000 ambapo hakuna oxygen kabisa,
Samahani,ndege zinatumia jet engine ambazo hufanya combustion kutegemea oxygen iliopo kny atmosphere ,hivyo haiwezi ruka kny altitude ya juu ambako amn oxygen,labda rockets ambazo zinabeba oxygen yake.
Aircraft are like flying fuel tanks with seats. Hakuna namna moto unaweza zuilika kwenye ajali za ndege. Kumbuka haya ni mafuta yanayoweza kufanya combustion huko juu futi 39000 ambapo hakuna oxygen kabisa,
 
Mkuu kuna jambo hapa, hii ni Boeing 737-800 nyingine iliteleza na kutoka nje ya runway chini ya saa 12 kabla ya hiyo ajali ya Korea, haikuwa habari kubwa kwa sababu haikuleta vifo

View attachment 3187574
Marekani anazibeba sana biashara zao hata kama kuna tatizo mfano yule aliekuwa mfanyakazi wa Boeing akatoa siri tatizo la ndege zao wakati wa matengenezo kesi ilifunguliwa mahakamani tangu mwaka jana ilipokaribia mwaka huu bado wiki 2 akatoe ushahidi mahamakani alikutwa amekufa kiutata.
Mfano wa pili mwezi huu tu FAA iliamuru rubani alipwe usd 2millions na kampuni ya usafiri wa anga sababu aligoma kurusha ndege kwakuwa aligundua tatizo kwenye mfumo wa magurudumu wakamuachisha kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…