Korea Kusini: Ndege iliyobeba watu 181 yaacha njia na kugonga ukuta na kuua zaidi ya Watu 167

Hapo sasa nimekuelewa. Asante.
 
MAdhali kuna video. Ok , mara ungalisikia " alionekana jamaa mmoja kavaa kanzu na kofia akiongea kama kiarabu", wengine wangalikuja na " ilionekana ndege inayofanana na Urusi ikipita ju yake". Lkn jamaa wa propaganda hapa wamekwama
 
Afadhali Airbus...
 
Nchi kama hizo ndipo utaona professionals wako field wakichunguza na kufanya mambo ya kitaalamu.
Kwetu ungeona wana saisa wana amrisha wataalam kufanya kazi yao

Tuna safari ndefu
Africa wabinafsi sana, tunawaza mno madaraka.
Hatujastaarabika bado.
 
Structure na design of civilian airplanes si rahisi kuzuia moto.
Ndege inabebw fuel kuwenye mbawa zake na katikati, haswa ndege za masafa marefu ili kuruka mbali bila kitua
 
Kampuni ya Boeing inaweza kuwa ndo mwanzo wa mwisho wake, tayari makampuni mengi ya usafirishaji wame cancel order za kununua boeing na kwemda kununua airbus, hizi ajali ndoz zinazidi kubomoa reputation ya boeing
Si kirahisi hivyo, mbali na civilian airplanes, bado boeing wana tender za majeshi na mambo mengine. Itachukua time sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…