Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Ilitwahi tokea Uganda,jamaa na gari yake akaagongwa na bodaboda taa ikapasuka nyuma.kijana boda akasimama anaomba sana msamaha wamalizane ajue gharama za kufidia..jamaa mwenye gari akamdharau boda na majibu mabivu kibao akaanza kumpiga.akamsukuma huko Kisha akaingia kwenye gari akawasha na kwenda kumkanyaga kwenye miguu kijana wa boda.kisha akamwacha kijana anagaragara Kwa maumivu akasepa.kumbe Kuna boda wengine walivyoshuhudia lile tukio wakawa wanapeana ishara wanamkimbiza.kufika mbele kundi jingine likaunga tela wakawa wengi wanamkimbiza walivyomkamata walitafuta Kila walichoona.nondo,mawe,vyuma wanachakaza gari wakati jamaa yupo ndani.walivomtoa nae wakamuua hapohapo wakaenda zao.
Cheza na wote sio boda.wana umoja na vichwa vibovu
Cheza na wote sio boda.wana umoja na vichwa vibovu