Korogwe: Bodaboda wadaiwa kuchoma basi la Saibaba baada ya mwenzao kugongwa

Ilitwahi tokea Uganda,jamaa na gari yake akaagongwa na bodaboda taa ikapasuka nyuma.kijana boda akasimama anaomba sana msamaha wamalizane ajue gharama za kufidia..jamaa mwenye gari akamdharau boda na majibu mabivu kibao akaanza kumpiga.akamsukuma huko Kisha akaingia kwenye gari akawasha na kwenda kumkanyaga kwenye miguu kijana wa boda.kisha akamwacha kijana anagaragara Kwa maumivu akasepa.kumbe Kuna boda wengine walivyoshuhudia lile tukio wakawa wanapeana ishara wanamkimbiza.kufika mbele kundi jingine likaunga tela wakawa wengi wanamkimbiza walivyomkamata walitafuta Kila walichoona.nondo,mawe,vyuma wanachakaza gari wakati jamaa yupo ndani.walivomtoa nae wakamuua hapohapo wakaenda zao.

Cheza na wote sio boda.wana umoja na vichwa vibovu
 
Asante wachatuendelelee kula kabangi
 
Ni wakati sasa madereva wa mabasi wapewe bunduki ili kujihami dhidi ya magenge ya wahuni kama hayo. Dereva alikosea sana kusimamisha basi wakati amegonga ilitakiwa akimbize basi kulipeleka sehemu yenye usalama zaidi ili kuepuka hasira na taharuki za wananchi.
 
Tuheshimu sheria za barabarani, pia madereva tue na Ni dhamu, Dereva Bus, Gari ndogo na Boda Boda. Wote mnatumia Vyombo vya Moto, Tuwapo barabarani Tuheshimu Sheria na tusiwe na haraka zisizo za Lazima.
 
Amna watu washenzi kama boda boda ..leo tu mmoja kagonga site mirror yangu kwa kujichomeka kati kati wakati gari zime simama kwenye mataa.nikiona boda boda kafa kwa ajali amini ni sawa na suicide usione huruma
 
 
Wanajua bei ya Scania hao nguruwe kwa Kisambaa?
Kwanini mafukara mna chuki sana na matajiri?
 
Nakulaani wewe kuwa na akili mbovu.
 
Bodaboda wamefanya makosa sana kujichukulia sheria mkononi.
Ila nako madereva wa magari hasa mabasi hawapendi kuwaheshimu wenye vyombo vya moto vingine(magari madogo).
Naimani tunasheria nzuri ila hazifuatwi na kutekeleza kwani tungeondoa madereva wote wazembe barabarani.
 
Inasikitisha sana
 
Mi nayaua tu. Huyu aliyenigonga nilimkimbiza akajificha. Nilitaka nimlambe fimbo kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…