Korona: Watanzania Tujilinde, Serikali inajali Uchumi kuliko Uhai wenu - Zitto

Serekal kusema inajali uchum msipotoshe kwamba inajali uchum wa taifa tu Ila inajali pia na uchum wa wananch wake Ila pamoja na yote upotoshaj wenu umefel now.

Mmegeukia kwamba serekal inataka ipambane na Corona kwa kutumia Kinga za mwil na kusema kwamba asilimia 3% ya watanzania watakufa japo Sio kweli tunajua mmeanza porojo mwanzo mlisema litaangamia taifa now mnasema watakufa asilimia 3% nyie endeleen kushuka mwisho mtafika kwenye Zoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tatizo liko wapi ikiwa kwa hilo punguzo hata wewe mwenye mlengo wa kushoto utafaidika? Mimi nilidhani mabeberu yameshinikiza punguzo la riba ili yafaidike nyenyewe

Inabidi tubadilike sana ,tuache negativity zisizokuwa na tija ili mradi tu eti uonekane umeipinga serikali ya awamu ya tano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uchumi tunaweza kuujenga tena Ila hatuwezi kumrudisha mzee mahiga
 
Sisi tumeachagua kufa ,kila mtu atakufa kikubwa maisha lazima yaendelee. Tukutane jumapili samaki samaki

Tusisahau barakoa, kuosha mikono kwa maji na sabuni


It is never too late to begin. Start now
Sasa ukishakufa maisha ndio yanaendeleaje hapo?
 
Wenzako kichwan wana akili na ubongo wewe ni kifaa cha kusikilia macho na masikio yasidondoke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unauwakika gani iyo 3%, watu wana shangaza Corona is first experience sasa huyu kabwe anabwatuka tu naona hata WHO ulisema mpaka mwezi huu maiti zitakuwa zimezagaa lakini wapi pia isitoshe licha ya credibility yako kabwe huwezi sema kitu juu ya covid-19 maana naaamini Rais anaushahuri pia anapata na anaresource zote hatakama wengine hatumkubali hii karata hachezi yeyetu ni ss sote kama taifa so get your shit straight.

No research no right to speak let's stop being subjective let's walk the talk. Hata Israel wanafanya herd immunity ili kusurvive we must sacrifice for the greater good
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani likuaga Zitto akiongea vichwa vinasisimka, ila kwa sasa amekua zwazwa kabisa hana hoja na alizonazo hazina mashiko anaongea ongea tu na ka chama kake hakana ata mvuto kwa watu, izo Takwimu za 3% amezitoa wapi kwa Research gani alioifanya? Atuache tafadhali.
 
Ukiacha Dar hakuna mkoa wowote wenye watu zaidi ya laki 500,000. Iyo 7k ya njombe ni kokoto au nn. No research not right to speak. Weka facts not theories maana hata population tu umetupotosha. It's not that easy na pia nchi zote zitajirudi na kufanya tunachokifanya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo tushamzoea ni mwongo

Huyu zito amesoma kiswahili angejikita kwenye vishazi huru kuendeleza lugha yetu

mambo ya sayansi awaachie kina Magufuli wanaoweza kujenga hoja kisayansi dunia ikasimama
Siyo kweli mkuu.
Zitto amesoma EGM = Economic, Geography, Mathematics hakuna kiswahili hapo.
 
THEORIES REALITY IS COVID-19 IS EVERYBODY'S FIRST EXPERIENCE TUONE
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar polpolation ni zaidi ya 6,000,000/ Arusha 1.5 m MZA zaidi ya 2 m....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu ni controversial sana ngoja tuone mwisho wataconclude vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…