Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta mada cjakuelewa. Dr Slaa amerudi Chadema?? Ameeleza kwa ufasaha kuwa yy ana taasisi yake na jina kaitaja ila anaiunga Chadema mkono. Nadhani wewe umeshindwa kuelewaHili ni kosa kubwa la kisiasa ambalo Mbowe anataka kulifanya.
Dkt. Slaa kama Lipumba wenye tamaa ya madaraka na waroho wa mali.
Dkt. Slaa aliondoka CHADEMA kwa mbwembwe na kuimiza chadema kimkakati na kiakili.
Hivi sasa baada ya kuona aliopo madarakani sio wa aina yake kaamua kuingia upinzani.
Dkt. Slaa kumrudisha CHADEMA ni kujitafutia kaburi kama alivyofanya lipumba kwa Seif na Alivyofanya Selasini kwa Mbatia.
Dkt. Slaa anatakiwa aachwe atembee na upepo siasa ishampiga mweleka.
Msome kutoka kwa Lipumba na kwa Selasini.
Silaa hajarudi Chadema jamaniMe binafsi hiki chama kimenipa kinyaa ghafla baada ya kuona Slaa anarudishwa na wakati aliwatuhumu CDM kuhusika kwenye assasination ya Lissu.
Slaa ndiye mwanasiasa pekee aligoma kula matapishi yake.Kwa kweli hata mimi sioni umuhimu wa kumrudisha Slaa.
Ingekuwa vyema kusema tu hadharani kwamba hakuna uadui, wako vizuri ila sio kumrudisha katika operations za chama.
Huyo Slaa mwenyewe nimemuona kwenye maandamano jana huko Mbeya kachoka, apumzike.
Uzalendo au udini?Dr Slaa ni mzalendo wa kweli.
Aliondoka CHADEMA kwa sababu ya Chama kuteleza kwa kuleta mtu asiyefaa kugombea urais, akaona asishiriki dhambi hiyo kwa watanzania. Sasa hali imebadilika Mzee kaamua kuunganisha nguvu kuendeleza pale alipopaacha mwaka 2015.
Slaa ni kiongozi makini apewe uzee wa heshima wa chama asukume mbele gurudumu
Kama basi hata jeshini hakuna msalitiDR SLAA anaheshima kubwa ndani ya cdm.yy na mbowe hao ndyo waliofikisha cdm hapo.umaurufu wa dr slaa ndyo uliojenga cdm.ndyo mana hata siku moja wanasiasa kongwe ndani ya cdm km mbowe na mnyika hawawezi kumsema vibaya dr slaa.DR SLAA ATABAKI KUWA SHUJAA WA MABADILIKO NA MWENYE MSIMAMO MKALI USIOYUMBISHWA NA UPEPO
Umewahi kuwasikiliza wenzie wakiongelea hilo? Mathalan Lissu?Slaa ndiye mwanasiasa pekee aligoma kula matapishi yake.
Msimamo wa chadema ilikuwa LOWASSA ni fisadi papa.
Walimsema sana .
Alipohamia Chadema Slaa pekee alijiengua kuonyesha msimamo wake.
KAma tutahukumu kwa haki, Slaa ndiye mwanasiasa pekee anastahili heshima nchi hii.
Mbona unawashtua tena? Ungekaa kimya tu ili zikifika siku za uchaguzi wazee wa geti jeusi pale Kijitonyama wanafanya yao.Hili ni kosa kubwa la kisiasa ambalo Mbowe anataka kulifanya.
Dkt. Slaa kama Lipumba wenye tamaa ya madaraka na waroho wa mali.
Dkt. Slaa aliondoka CHADEMA kwa mbwembwe na kuimiza chadema kimkakati na kiakili.
Hivi sasa baada ya kuona aliopo madarakani sio wa aina yake kaamua kuingia upinzani.
Dkt. Slaa kumrudisha CHADEMA ni kujitafutia kaburi kama alivyofanya lipumba kwa Seif na Alivyofanya Selasini kwa Mbatia.
Dkt. Slaa anatakiwa aachwe atembee na upepo siasa ishampiga mweleka.
Msome kutoka kwa Lipumba na kwa Selasini.
Muulize lipumbaSiasa haipo hivyo regarding hakuna hujuma za kudhuriana
DR slaa ni asset kubwa sana, lakini kwa bahati mbaya, asset yenye mgongo wa TEC. sipendi udini ila ipo wazi, ndio maana uliona mara tu alipowekwa rumande mbeya na kupewa kesi ya kunyongwa, alipewa dhamana kwa kesi isiyodhaminika na ikaishia hapohapo mara tu baada ya TEC sasa kutoa makucha yao wakionyesha wazi wapo pamojana dr. slaa. mbowe anajulikana, ni lutheran ya Dr. Shoo (askofu mstaafu). mkiambiwa kuna siasa za udini tuwe tunakubaliana na tatizo na tuangalie namna ya kulitatua. ndio maana haiji kichwani mbowe miaka yote ni mwenyekiti na hakuna la kumfanya kwasababu kajikita kweney mizizi fulani ya aina hiyo, umegombana naye umegombana na lutheran, hata dr. slaa hivyo hivyo. upande ule kuna Lipumba, na zitto, na wengine wa kule zenji, hawawazi chochote ila udini. hata hivyo hatushangai, hata marekani evangelicals siku zote wamekuwa upande wa Trump, ila wakatoliki wengi wapo na democrats. tupinge udini.Hili ni kosa kubwa la kisiasa ambalo Mbowe anataka kulifanya.
Dkt. Slaa kama Lipumba wenye tamaa ya madaraka na waroho wa mali.
Dkt. Slaa aliondoka CHADEMA kwa mbwembwe na kuimiza chadema kimkakati na kiakili.
Hivi sasa baada ya kuona aliopo madarakani sio wa aina yake kaamua kuingia upinzani.
Dkt. Slaa kumrudisha CHADEMA ni kujitafutia kaburi kama alivyofanya lipumba kwa Seif na Alivyofanya Selasini kwa Mbatia.
Dkt. Slaa anatakiwa aachwe atembee na upepo siasa ishampiga mweleka.
Msome kutoka kwa Lipumba na kwa Selasini.
Unaposema tangu siku ni mwenyekiti wengine watakuja na hoja kwanini tangu siku hizo ni chama hicho hicho tu? Utajibu vipiDR slaa ni asset kubwa sana, lakini kwa bahati mbaya, asset yenye mgongo wa TEC. sipendi udini ila ipo wazi, ndio maana uliona mara tu alipowekwa rumande mbeya na kupewa kesi ya kunyongwa, alipewa dhamana kwa kesi isiyodhaminika na ikaishia hapohapo mara tu baada ya TEC sasa kutoa makucha yao wakionyesha wazi wapo pamojana dr. slaa. mbowe anajulikana, ni lutheran ya Dr. Shoo (askofu mstaafu). mkiambiwa kuna siasa za udini tuwe tunakubaliana na tatizo na tuangalie namna ya kulitatua. ndio maana haiji kichwani mbowe miaka yote ni mwenyekiti na hakuna la kumfanya kwasababu kajikita kweney mizizi fulani ya aina hiyo, umegombana naye umegombana na lutheran, hata dr. slaa hivyo hivyo. upande ule kuna Lipumba, na zitto, na wengine wa kule zenji, hawawazi chochote ila udini. hata hivyo hatushangai, hata marekani evangelicals siku zote wamekuwa upande wa Trump, ila wakatoliki wengi wapo na democrats. tupinge udini.
Hili ni kosa kubwa la kisiasa ambalo Mbowe anataka kulifanya.