Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Tanzania iliwahi kuwa na uadui mkali na Gadaffi wa Libya kwenye vita ya Kagera maana askari wetu waliuwawa na askari wa Libya na Walibya waliuawa na kutekwa na Tanzania. Lakini baadae tukawa marafiki na misaada yake tukapokea na waislamu sasa hivi wanaswali misikiti mingi aliyojenga Gadaffi hapa kwetu.
Siasa haina ugomvi wa ukewenza usio isha, welcome home Dr Slaa ila cheo hupati utakuwa mshauri mzee kama Dr.Waitama
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Siasa haina ugomvi wa ukewenza usio isha, welcome home Dr Slaa ila cheo hupati utakuwa mshauri mzee kama Dr.Waitama
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app