DR slaa ni asset kubwa sana, lakini kwa bahati mbaya, asset yenye mgongo wa TEC. sipendi udini ila ipo wazi, ndio maana uliona mara tu alipowekwa rumande mbeya na kupewa kesi ya kunyongwa, alipewa dhamana kwa kesi isiyodhaminika na ikaishia hapohapo mara tu baada ya TEC sasa kutoa makucha yao wakionyesha wazi wapo pamojana dr. slaa. mbowe anajulikana, ni lutheran ya Dr. Shoo (askofu mstaafu). mkiambiwa kuna siasa za udini tuwe tunakubaliana na tatizo na tuangalie namna ya kulitatua. ndio maana haiji kichwani mbowe miaka yote ni mwenyekiti na hakuna la kumfanya kwasababu kajikita kweney mizizi fulani ya aina hiyo, umegombana naye umegombana na lutheran, hata dr. slaa hivyo hivyo. upande ule kuna Lipumba, na zitto, na wengine wa kule zenji, hawawazi chochote ila udini. hata hivyo hatushangai, hata marekani evangelicals siku zote wamekuwa upande wa Trump, ila wakatoliki wengi wapo na democrats. tupinge udini.