Kosa ambalo Mbowe analifanya katika siasa ni kumrudisha CHADEMA Dkt. Slaa

Msiwaamini wanasiasa hata hao wanaotukanwa covid 19 watawarudisha siku si nyingi
 
Mleta mada cjakuelewa. Dr Slaa amerudi Chadema?? Ameeleza kwa ufasaha kuwa yy ana taasisi yake na jina kaitaja ila anaiunga Chadema mkono. Nadhani wewe umeshindwa kuelewa
 
Mbona wapo wengi waliondoka CCM na wakarudi, wkapokelewa bila kelele? Mfano mzuri ni Lowasa. Ninachoona hapa inapaswa mtu anapohama chama arudishe mpaka kadi ya uanachama, kitu ambacho wengi hawafanyi

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Slaa ndiye mwanasiasa pekee aligoma kula matapishi yake.

Msimamo wa chadema ilikuwa LOWASSA ni fisadi papa.
Walimsema sana .

Alipohamia Chadema Slaa pekee alijiengua kuonyesha msimamo wake.

KAma tutahukumu kwa haki, Slaa ndiye mwanasiasa pekee anastahili heshima nchi hii.
 
Uzalendo au udini?
 
Kama basi hata jeshini hakuna msaliti
 
Umewahi kuwasikiliza wenzie wakiongelea hilo? Mathalan Lissu?

Tuache tu kuongelea, hukumuona katika picha kwenye kikao cha kumkaribisha Lowassa Chadema?

Slaa alitaka Lowassa akaribishwe Chadema lakini asipewe nafasi ya kugombea Urais (hili hata yeye mwenyewe alisema)

Pekee kilichomuondoa Chadema ni kukosa nafasi ya kugombea Urais ambayo alipewa Lowassa.
 
Mbona unawashtua tena? Ungekaa kimya tu ili zikifika siku za uchaguzi wazee wa geti jeusi pale Kijitonyama wanafanya yao.

Dr Slaa ni kama malaya wa Corner Bar tu, mbele ya hela hakatai dili
 
Sasa kama mnajua anafanya kosa kumrudisha, wasiwasi wenu ni nini wakati ccm itapata unafuu?
 
Pamoja na kwamba namkubali sana Dr. Slaa ila tamaa yake ya madaraka ndio inanikatisha tamaa.
 
DR slaa ni asset kubwa sana, lakini kwa bahati mbaya, asset yenye mgongo wa TEC. sipendi udini ila ipo wazi, ndio maana uliona mara tu alipowekwa rumande mbeya na kupewa kesi ya kunyongwa, alipewa dhamana kwa kesi isiyodhaminika na ikaishia hapohapo mara tu baada ya TEC sasa kutoa makucha yao wakionyesha wazi wapo pamojana dr. slaa. mbowe anajulikana, ni lutheran ya Dr. Shoo (askofu mstaafu). mkiambiwa kuna siasa za udini tuwe tunakubaliana na tatizo na tuangalie namna ya kulitatua. ndio maana haiji kichwani mbowe miaka yote ni mwenyekiti na hakuna la kumfanya kwasababu kajikita kweney mizizi fulani ya aina hiyo, umegombana naye umegombana na lutheran, hata dr. slaa hivyo hivyo. upande ule kuna Lipumba, na zitto, na wengine wa kule zenji, hawawazi chochote ila udini. hata hivyo hatushangai, hata marekani evangelicals siku zote wamekuwa upande wa Trump, ila wakatoliki wengi wapo na democrats. tupinge udini.
 
Unaposema tangu siku ni mwenyekiti wengine watakuja na hoja kwanini tangu siku hizo ni chama hicho hicho tu? Utajibu vipi
 
Wote hao ni vibaraka wa CCM, unayeteseka ni wewe.
 
Utaumia moyo ukifuatilia wanasiasa.

2016 Donald Trump alimtuhumu baba yake Ted Cruz kuwa alihusika kwenye assassination ya Rais John F. Kennedy na akasema mke wake (Cruz) ana sura mbaya lakini leo hii ni marafiki wakubwa...kwahiyo hata Slaa kurudi CDM sishangai..kama wanasamehe vitu kama hivyo jua tu Kuna 'maslahi' makubwa yanafuatiliwa.

Usiruhusu siasa iwagombanishe na jamaa zenu.
 

Weye kama si m CCM mnaturudisha sana nyuma:

Maandamano Mbeya, Mwanza umoja wetu umesikika

Umoja wetu, nguvu yetu.
 
CHADEMA hadi sasa hakuna candidate mwenye sifa wala dalili za kugombea urais, lazima tu wawaze kuokoteza kama kawaida yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…