Kosa ambalo Mbowe analifanya katika siasa ni kumrudisha CHADEMA Dkt. Slaa

Kwani nani ana mission ya kumrudisha Slaa?
 
Chama kina force attention, afadhali wangempa Roma mwanakulitekwa watavuma kuliko Kiki ya slaa yenye kejeli n usaliti³🤣🤣🤣🤣. Ny tumezoea, nyote ni wale wale tu
Chama cha machawa attention iko kwa jambazi sugu Daudi Albert Bashite aka zero
 
Unaposema tangu siku ni mwenyekiti wengine watakuja na hoja kwanini tangu siku hizo ni chama hicho hicho tu? Utajibu vipi
tofauti ya vyama vilivyopo hapa Tanzania, hivyo kadhaa vinavyosema ni vikuu, vina udini kidogo ndani yake, hilo hatuhitaji kubishana. ila kimoja ambacho ni sisiemu, hakina udini ila ni majambazi makubwa sana. sasa sijui hapo tuchague yupi, ila bora jambazi kuliko mdini. dini maeneo yote imeleta mgawanyiko mkubwa sana kwa raia.
 
Makonda mpaka baba wa dunia kamtaja muuaji na Lissu anamsema Makonda ni muuaji mbona kapewa usemaji wa CCM.
 
CHADEMA hadi sasa hakuna candidate mwenye sifa wala dalili za kugombea urais, lazima tu wawaze kuokoteza kama kawaida yao.
Kwa vile mumeo alikuokota kwenye vilabu vya mataputapu hivyo unawaza kuokoteza tu.
 
Kwani kuna ugomvi?.siasa sio uadui.Anatoka huyu anaingia huyu.Cha msingi wafwate itikadi za chama.akiwa na makando kando anawekwa pembeni au anajiweka mwenyewe.hiyo ni kanuni ya asili.watu wasioendana hawawezi kwenda pamoja.Tuupe muda uamue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Slaa na Mwabukusi ni Majembe yanatufaa sana CHADEMA.✌️
 
Hunaga akili wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa vile mumeo alikuokota kwenye vilabu vya mataputapu hivyo unawaza kuokoteza tu.
Slaa huyo hapo anzeni kumnadi, amekuja kimkakati..... uchaguzi ukifika anawavuruga tena anasepa.
 
Umesoma kitabu cha prof Hamza Njozi?
 
Slaa huyo hapo anzeni kumnadi, amekuja kimkakati..... uchaguzi ukifika anawavuruga tena anasepa.
Huyu ana chama chake na Mwabukusi kama anataka kurudi hakatazwi lakini awe mwanachama wa kawaida tu. Mtaji wa chama chochote ni wanachama.
 
Afanye makosa mangapi ndio mjue Mbowe alishapotea? Mbowe alishafanya kosa kubwa sana la kihistoria alipompokea Lowasa, wakameza matapishi yao na kuanza kumsafisha na shutuma walizokua wakimtuhumu miaka yote akiwa ccm.
Hili ninkosa ambao Mbowe and the company hawatakuja weza kuli undo. Hili ni doa halitakaa litakasike mpaka siku anaingia kaburini.

Haya yote anayofanya Mbowe na Chadema ni cimenas tu za ku survive kusogeza siku mbele.

MBOWE ALREADY FAILED SOO LONG AGO. He is no more trustworthy.
 
Ule Ubalozi alizawadiwa kwajili gani au kwa kazi ipi? Tuna macho masikio na akili.
 
Ukiona WanaCCM wanatumia muda wao kuipa Chadema ushauri mbalimbali kwa nguvu ujue Chadema is doing very well
 
Si hasa haina adui wala rafiki wa kudumu, ni mazingira tu yanatengeneza rafiki au adui.
 
Chama kina force attention, afadhali wangempa Roma mwanakulitekwa watavuma kuliko Kiki ya slaa yenye kejeli n usaliti³🤣🤣🤣🤣. Ny tumezoea, nyote ni wale wale tu
Be serious man, yaan na ww off all people wampe roma? Roma ana profile gani nchi hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…