Kosa ambalo Mbowe analifanya katika siasa ni kumrudisha CHADEMA Dkt. Slaa

Tanzania iliwahi kuwa na uadui mkali na Gadaffi wa Libya kwenye vita ya Kagera maana askari wetu waliuwawa na askari wa Libya na Walibya waliuawa na kutekwa na Tanzania. Lakini baadae tukawa marafiki na misaada yake tukapokea na waislamu sasa hivi wanaswali misikiti mingi aliyojenga Gadaffi hapa kwetu.
Siasa haina ugomvi wa ukewenza usio isha, welcome home Dr Slaa ila cheo hupati utakuwa mshauri mzee kama Dr.Waitama

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
RIWAYA SURA YA PILI : HARAKATI ZA MBOWE MRAMBA ASALI NA CHUPA YAKE YA KONYAGI.
 
Huyu kama kurudi arudi hakuna shida ila asipewe nafasi ya uongozi abaki kuwa mwanachama wa kawaida tu. Wakirogwa kumpa nafasi atakuja kuwafanya kitu mbaya zaidi.
Huyo ndiyo anastaili kuwa mgombea wa urais hakuna yoyote ndani ya chadema ambaye anaweza kukubalika na wazalendo waliopo ccm na chadema na mitaani zaidi ya slaa
 
Mimi sioni tatizo kwa Dk.Slaa kurudi nyumbani!
Arudi tu!
 
Huyo ndiyo anastaili kuwa mgombea wa urais hakuna yoyote ndani ya chadema ambaye anaweza kukubalika na wazalendo waliopo ccm na chadema na mitaani zaidi ya slaa
Wewe wasema
 
Siasa haina Adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu, hasa siasa za bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…