saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
Umeandika ukweli, wamejidanganya eti wao ndio wapinzani wa kweli, wameshahau ht CUF ilishakuwa chama kikuu cha upinzani, mwaka huu baada ya uchaguzi tutakuwa na chama kingine kikuu cha upinzani hao wajinga watafutika ktk ramani ya siasa maana wanachama wenye ni ya kutumia haki yao ya kikatiba ya kugombea watakihamaMoja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Kuna nini huko, km hakuna njaa huko wanachama wenu maarufu wako wapi. Kuanzia Tunduma mpk Arusha, Dsm mpk Kigoma wale wabunge wenu machachari sahivi ni viongozi CCM, nyie kwl ni nyumbu hakuna akiliChadema ndio baba lao, hivyo vingine ni njaa njaa. Mboga mboga b
Sasa wewe unawashwa wapi wakati hayakuhusu. Pambana na hali yako, mambo yao waachie wao. Kama wewe ni me kuwa makini kwani unakoelekea siyo pazuri.Umeandika ukweli, wamejidanganya eti wao ndio wapinzani wa kweli, wameshahau ht CUF ilishakuwa chama kikuu cha upinzani, mwaka huu baada ya uchaguzi tutakuwa na chama kingine kikuu cha upinzani hao wajinga watafutika ktk ramani ya siasa maana wanachama wenye ni ya kutumia haki yao ya kikatiba ya kugombea watakihama
Tuliani sasa mayowe mengi ya nini na mnaenda kushinda kwa kishindo.Chadema hawashiriki na kinakufa muda si mrefu.Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Ndo maana umeandika hapa kudhihiridha ukubwa wa chadema.Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Njaa ipi unazungumzia, hilo li chama linaendeshwa kwa ruzuku kutoka serikalini, na mmeanzisha tone tone mkaishia kupata milioni 100 tu, hiyo ni hela ndogo sana. Chadema ina uwekezaji gani wa kujiendesha? Sasa subirini hiyo njaa itakayowapiga mtauana wenyewe huko ndani. Yule mnyaturu hana akili ht kdg.Chama makini hakiwezi kuingia kwenye huu uchaguzi, labda kama Cha njaa, kuingia kwenye mazingira haya ya uchaguzi ni kulalalisha uwasi nchini.
Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Akili hizi bana, ni Bora kumpigania reforms hata Kwa bakuli kutoka Kwa wenye Moyo, Kuliko ruzuku inayopumbazs akili, ni mwehu pekee atakayekubali kuingia kwenye kwenye mazingira haya ya uchaguziNj
Njaa ipi unazungumzia, hilo li chama linaendeshwa kwa ruzuku kutoka serikalini, na mmeanzisha tone tone mkaishia kupata milioni 100 tu, hiyo ni hela ndogo sana. Chadema ina uwekezaji gani wa kujiendesha? Sasa subirini hiyo njaa itakayowapiga mtauana wenyewe huko ndani. Yule mnyaturu hana akili ht kdg.
Tuliani sasa mayowe mengi ya nini na mnaenda kushinda kwa kishindo.Chadema hawashiriki na kinakufa muda si mrefu.
Sio upinzani tuu bali hata siasa na mijadala mitandaoni.. CHADEMA inamiliki kwa asilimia99Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Mtizamo wako ni finyuMoja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Wana akili za kidikteta na ubinafsi.Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Mbona hili tukio la CHADEMA ''kufanya kosa'' la kujiondoa kwenye siasa za Tanzania linawauma sana CCM wakati wamekuwa wanajiapiza kuwa watafanya lolote ili CHADEMA ifutike?Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Chukua CHako Mapema -CCMKosa kubwa ni sisi wanaccm kuamini chadema Haina umuhimu kwenye taifa hili!!kosa kubwa sana!!
Madhara ya chadema kutokua na wabunge bungeni ni makubwa know ndio maana Ngoro ngoro,bandari n.k vimeenda kirahisi sana Tena Kwa mserereko mkuu!!
Hawajachoka kipindi cha Magufuli watachoka kwa SAMIA.Hawa viongozi wao wa sasa wanaona who ndio wamepatia kumbe ni kujidanganya tu.
2030 watafika wamechoka na watakimbiana na mwisho watamtukana Lissu na Heche kama walivyofanya kwa Mbowe.
Chadema ndio wanaiingiza mawazo kwa watu.Kosa kubwa ni kudhani mnapambana na CHADEMA na sio wazo.