Kosa kubwa tunalolifanya kabla ya kufunga ndoa

Vijana wa sasa wanaoa kwa sababu wanaamini hapo ndo hawazini, Ili kutimiza matakwa ya dini, Ili asionekane muhuni, ili afuliwe na kupikiwa, Ili akipate kidubwasha muda wowote akitaka.
Unamaanisha tunaoana tukiamini ni njia ya kukwrpa dhambi ya uzinzi...eeh! Umenikumbusha mbali sana hata Mimi niliambiwa hivyo Mkuu
 
hiyo hapo
Thanks nilikua natafuta hii mambo.

Turejee kwenye mada sasa hivi vitu ni kuomba Mungu akupatie aliye mwema na wewe uwe na hekima. Unaweza fuata kila kitu na bado ukapigwa tukio.
 
Ndoa za cku hzi hakuna anayetakaa kuonekana mnyonge c mwanaume Wala mwamke ...

KATAA NDOA
 
Tunaingia ndoani kibubusa sana ndugu, unaweza kumkuta mtu mpaka kupata shahada yake ya kwanza ya fani yake ametumia zaidi ya miaka 22 halafu anaingia kwenye ndoa bila kujifunza chochote ila anajua kabisa anakwenda kuingia kwenye mkataba wa kuwekezeana maisha....this is more than risk...
 
Na inawatafunaa wengi Sanaa kwakweliii,c Kwa vijana Wala wazeee na mkombozi hakuna..

Kata ndoa
 
Yote haya tunayapitia sababu ya kukosa kukaa kwenye nafasi zetu ndani ya ndoa tukiliweza hili nauwakika ndoa nyingi zitasurvive pia tupunguze ujuaji kikubwa hakuna formula kule
 
Ila at least ukiingia na hints angalau Mkubwa.
 
Huko kwenye jando na unyago ndo kuna mila kandamizi ambazo kwa dunia ya sasa hazivumiliki.
 
Ila zilitoa hints Kwa wanawake na wanaume kabla ya ndoa siyo la kicheni pati za kisasa wapeana mabakuli.
 
Hizo hints zilifaa kwenye ndoa za kizamani ambapo watu walikuwa hawajaelimika na kutambua haki zao.

Lengo la kitchen party ni kumpa bibi harusi vyombo vya jikoni. Ni jambo jema.

Ila wamekuja kuchanganya na mambo mengine ya chumbani na mengine yasiyofaa, imeharibu lengo zima la kitchen party.
 
Back
Top Bottom