Hizo himts zilifaa kwenye ndoa za kizamani ambapo watu walikuwa hawajaelimika na kutambua haki zao.
Lengo la kitchen party ni kumpa bibi harusi vyombo vya jikoni. Ni jambo jema.
Ila wamekuja kuchanganya na mambo mengine ya chumbani na mengine yasiyofaa, imeharibu lengo zima la kitchen party.