Kosa kubwa utakalolifanya mwanamke ni kujilinganisha na mwanaume!

Tuna haki sawa na wanawake isipokuwa hawaruhusiwi kututawala!
 
Haturuhusiwi kuwafatilia? Anyway mada ni nzuri mwenye kuelewa na aelewe.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app

Kimsingi kumfuatilia MTU Kwa kutokumuamini ni kutafuta ubaya wa MTU huyo.
Ukimchunguza Bata hutomla, Sisi wanaume wengi wetu tunawachunguza Wanawake Kabla hatujawaoa, tukishawaoa huo muda wa kuwatuatilia hatuna. Tutafanya hivyo endapo kutakuwa na Dalili za hatari mnazozionyesha.

Lakini ninyi muda wote mnawasiwasi na Sisi. Kwa nini mnaamini hampo peke yenu?
 
Wasiwasi ndo akili kaka.

Back
Top Bottom