Kosa la Adolph Hitler la Septemba mosi 1939 linataka kurudiwa na Vladimir Putin

Kosa la Adolph Hitler la Septemba mosi 1939 linataka kurudiwa na Vladimir Putin

Fact. Hao warusi wa mtogole wenyewe ni kushabikia uongo tu. Utasikia hapo USA hagusi. Lakini ikianza wanaanza kulialia tu oooh...! Anaonea tu.
Amalizane na Ayatullah kwanza [emoji23][emoji16][emoji16]kama yeye anajihisi ni Super power, asiende kwa mrusi wala China, aende akalenge hata risasi Tehran [emoji1787]aone
 
Sasa Syria, Jordan na Lebanon ambako Israel imechukua maeneo yao sio nchi huru? Egypt ambayo Israel iliinyang'anya Sinai peninsula na wakapigana ikarudi kuwa mikononi mwa Egypt sio nchi huru? Au Palestinians sio ethnicity inayojitegemea inayojitegemea, mbona Israel haiwatambui makazi yao.

Alichofanya Russia kimefanywa na Israel hao Wayahudi wako mara nne zaidi na wakaongezewa misaada na ulinzi. Wewe hapo Tandahimba ndio unakuja kusema Wayahudi wataipiga Russia kisa mtu mmoja anaitwa Volodymyr Zelensky. Wayahudi hawakufanya kitu kipenzi chao John F. Kennedy alipouwawa tena akiwa American president nchi inayowalinda na kuwapa misaada, sembuse kwa Rais wa Ukraine
Nipo mbezi beach Dar. Masuala ya kimataifa hutofautiana hata siku moja hayafanani.
 
Hayo maneno yamezoeleka kwa wakongwe.Walianza chawa wa Saddam kupiga kelele na kujidai USA hawezi kuwafanya lolote.
Wakafuata vimbwenerehi wa Afghanistan huku wakiwa na magobole yao milimani Torabora na Kandahar.Mwishowe walitoa mlio wa huzuni.
Yaan marekan kuipiga taliban ambyo haina silaha za kisasa unaisfia US!!! Hao ni Russia sio afghani
 
Ww mtoa mada mbona unaendeshwa na ushabiki wa kijinga?

Unashangaa Russia kwenda kulinda aman ktk majimbo yake ya asili ila haushangai wala hukuandika pumba zako NATO walippoivamia Libya bila sababu, hao US si ndo waliivamia Iraq bila sababu ya msing wakisingizia story za kubumba za ugaid? Mbna haushangai?

Hao NATO si ndo wanaopleka madege mashark ya kati na kuua watu hovyo kwa ksisngzio cha kupambana na magaid ... hebu fiche ujinga wako
Ukraine ni nchi kamili kama yoyote unayoifahamu mkuu jaymoul. Anachofanya Putin ni unyama wa kutaka aheshimiwe kwa ukubwa wake kama anavyoheshimiwa USA.

Anaona mataifa mengine ya karibu yanajikomba kwa Russia lakini Ukraine haijikombi na hicho kinamuuma.
 
Ukraine ikiachiwa ijiamulie mambo yake kama ambavyo unasema, itarejea katika ambitions zake za kujiunga na EU kuimarisha mahusiano ya kiuchumi, kisha watapeleka maombi ya kujiunga NATO kwa mara nyingine kama jinsi ambavyo nchi za ukanda wa Baltiki zilifanya. Baada ya hapo, tutarejea 'square one' tukijadili mgogoro huu.
Russia hana jipya ambalo kwa Ukraine lina msaada. Haiombi undugu kwa Russia na huo ukweli unamuumiza Putin.
 
Wamarekani/Wazungu hawana ubavu wa kuingia vitani na Warusi.

Sanasana watamwekea vikwazo vya kiuchumi tu na mwisho wataufyata.

After all Warusi hawawategemei sana Wamarekani/Wazungu.

Kwahiyo Warusi wameupiga mwingi.
USA wanajua wapige wapi ili wauumize uchumi wa Russia. Ni umafia unaoitwa economic espionage.
 
Hii nyuzi inaharibiwa na ushabiki wa tofauti za kiitikadi.

Huyo mrusi kama hayo majimbo yalikuwa yake na ushahidi upo, basi acha ayachukuwe,

Nikama ardhi ya palestina ilivyoporwa na wamarekani kwa kukabidhi wageni kwa kuita taifa la Israel ya kale na hakuna aliyeleta chockochoko kama wanavyoleta wao mataifa mengine yakirudisha ardhi zake.

Acheni ushabiki wakipuuzi hiyo vita baadhi yenu mnaoitaka, itayagharimu mpaka maisha yenu na vizazi vyenu.
 
Dunia inaangalia mchango wako ni upi. Substance ya kwako ni ipi. Myahudi anao mchango kuanzia masuala ya teknolojia mpaka yale ya muziki.

Kulialia tu na kulalamika ni sifa ya mwafrika, ambaye siku zote anahisi kuwa anaonewa, ukiwa na mchango katika uhai hutalia kuonewa, unachokichangia ndio kitakachokupa heshima.
We nae kwenye mziki Kuna mchango wa israel?

Kwa taarifa yako, mtu mweusi ndye mwenye mchango mkubwa dunia nzima kwa kuprovide resources zinazotumika ktk hata hizo tecnolojia za anga,mawasialiano, usafirishaji, ulinzi, siraha, na ndizo hizo resources mnazoiba kijambazi afrika kupitia ma puppets mnaowapandikiza, ugaidi na mikataba ya kishenzi.

No Afrika, No lives
 
kila kiongozi ana maono yake, Putin analalamika upanuzi wa NATO unatishia usalama wa nchi yake,mind u urusi na mataifa ya magharibi hawana lugha ya pamoja,toka enzi za USSR,so Putin amefanya maamuzi ili mataifa ya magharibi wajue dhamira yake ya usalama kwanza inafanyiwa kazi
 
We nae kwenye mziki Kuna mchango wa israel?

Kwa taarifa yako, mtu mweusi ndye mwenye mchango mkubwa dunia nzima kwa kuprovide resources zinazotumika ktk hata hizo tecnolojia za anga,mawasialiano, usafirishaji, ulinzi, siraha, na ndizo hizo resources mnazoiba kijambazi afrika kupitia ma puppets mnaowapandikiza, ugaidi na mikataba ya kishenzi.

No Afrika, No lives
Randy Newman, Paula Abdul, Bob Dylan kwa kuwataja wachache. Kina Zuckerberg wa facebook na whatsapp ni wayahudi.

Ni watu wenye mchango wao katika uchumi wa dunia. Mtu mweusi anashindwa kuwa na lugha moja, nani atakayemheshimu?.

Weusi wa USA hawajuani na weusi wa Afrika, hawajuani na weusi wa Amerika ya kusini, mtu mweusi anajua kumrudisha nyuma mweusi mwenzake, tazama mauaji kati ya weusi kwa weusi USA yalivyo na namba kubwa kulinganisha mauaji ya mweusi anayeua watu wa rangi nyingine.
 
Mtoa mada kama hujui hizi zama zimebadilika, hakuna tena mambo ya 90 endeleeni kukaa na maumivu, halaf hamkuumia umoja wa ulaya ulipoenda kuuwa maelfu ya watu Libya bila ya sababu wapuuzi wakubwa nyie mnakuja kuumia Russia kurejesha majimbo yake ya asili ?
Nakazia mkuu
Screenshot_20220222-155139.jpg
 
Hao wayahudi wako bila mbeleko ya huyo tapeli marekani wana nini?!

Au na wewe ni mmoja wa wanaoamini kuwa hawa matapeli wanaojiita wayahudi ndilo lile tunalosoma kwenye Biblia kama taifa teule la Mungu?
Huyu jamaa vipi kakazana wayahudi wayahudi what fuxxxxxxck leta hoja Yan mtu kaenda kwa mzazi mwenzake walokuwa wamefunga ndoa wew shemeji mtu yanakuhusu nn kuingilia
 
USA wanajua wapige wapi ili wauumize uchumi wa Russia. Ni umafia unaoitwa economic espionage.
Putin hiyo ndio field yake haswa.

Kwa kuanzia, nakuhakikishia mgogoro huu utawaangusha watawala wa ufaransa na ujerumani katika chaguzi zijazo.

Subiri bei ya gesi ipae huko usikie mayowe yake.
 
Nipo mbezi beach Dar. Masuala ya kimataifa hutofautiana hata siku moja hayafanani.
Sasa masuala ya kimataifa kutofautiana yana uzito. Southern Ossetia na Abkhazia ilikuwa hivi, Crimea imekuwa annexed Russia wakawekewa vikwazo. Bado ukirudi kwenye chanzo chenyewe Ukraine haikufanya vizuri calculations za kuwa karibu na NATO, kina Poland waliwahi kipindi Russia haijatengamaa. Finland waliochelewa tena ambao USSR ilishawahi kuwavamia wakaamua kuwa neutral kwa sababu wanapakana na Russia. Ukraine ndio doorstep ya kuingia Russia alafu anataka NATO waweke bases zake. Mbona US hawezi kukubali bases za Russia kuwepo Venezuela au Cuba.

Ushasema mambo ya kimataifa hutofautiana. Ndio tofauti zenyewe hizi
 
Sasa masuala ya kimataifa kutofautiana yana uzito. Southern Ossetia na Abkhazia ilikuwa hivi, Crimea imekuwa annexed Russia wakawekewa vikwazo. Bado ukirudi kwenye chanzo chenyewe Ukraine haikufanya vizuri calculations za kuwa karibu na NATO, kina Poland waliwahi kipindi Russia haijatengamaa. Finland waliochelewa tena ambao USSR ilishawahi kuwavamia wakaamua kuwa neutral kwa sababu wanapakana na Russia. Ukraine ndio doorstep ya kuingia Russia alafu anataka NATO waweke bases zake. Mbona US hawezi kukubali bases za Russia kuwepo Venezuela au Cuba.

Ushasema mambo ya kimataifa hutofautiana. Ndio tofauti zenyewe hizi
Putin ndio tatizo lenyewe. Mbona Ukraine iliyoongozwa na kina Kuchma au Yanukovich ilikuwa na uhusiano mwema na Russia?.

USA kuikaribia Ukraine haijaanza jana wala juzi, lakini hatukuwahi kuona Kremlin wakifikia maamuzi ya kuipiga nchi na kutangaza majimbo yake kuwa ni sehemu ya Russia.

Enzi za Yeltsin hatukuwahi kusikia hizi habari za kibabe zikiongelewa, waliijua diplomasia na ujanja wake.

Hamna ubunifu miongoni mwa wenye kufanya diplomasia ndani ya serikali ya Russia.
 
Back
Top Bottom