STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Amalizane na Ayatullah kwanza [emoji23][emoji16][emoji16]kama yeye anajihisi ni Super power, asiende kwa mrusi wala China, aende akalenge hata risasi Tehran [emoji1787]aoneFact. Hao warusi wa mtogole wenyewe ni kushabikia uongo tu. Utasikia hapo USA hagusi. Lakini ikianza wanaanza kulialia tu oooh...! Anaonea tu.
Nipo mbezi beach Dar. Masuala ya kimataifa hutofautiana hata siku moja hayafanani.Sasa Syria, Jordan na Lebanon ambako Israel imechukua maeneo yao sio nchi huru? Egypt ambayo Israel iliinyang'anya Sinai peninsula na wakapigana ikarudi kuwa mikononi mwa Egypt sio nchi huru? Au Palestinians sio ethnicity inayojitegemea inayojitegemea, mbona Israel haiwatambui makazi yao.
Alichofanya Russia kimefanywa na Israel hao Wayahudi wako mara nne zaidi na wakaongezewa misaada na ulinzi. Wewe hapo Tandahimba ndio unakuja kusema Wayahudi wataipiga Russia kisa mtu mmoja anaitwa Volodymyr Zelensky. Wayahudi hawakufanya kitu kipenzi chao John F. Kennedy alipouwawa tena akiwa American president nchi inayowalinda na kuwapa misaada, sembuse kwa Rais wa Ukraine
Yaan marekan kuipiga taliban ambyo haina silaha za kisasa unaisfia US!!! Hao ni Russia sio afghaniHayo maneno yamezoeleka kwa wakongwe.Walianza chawa wa Saddam kupiga kelele na kujidai USA hawezi kuwafanya lolote.
Wakafuata vimbwenerehi wa Afghanistan huku wakiwa na magobole yao milimani Torabora na Kandahar.Mwishowe walitoa mlio wa huzuni.
Ukraine ni nchi kamili kama yoyote unayoifahamu mkuu jaymoul. Anachofanya Putin ni unyama wa kutaka aheshimiwe kwa ukubwa wake kama anavyoheshimiwa USA.Ww mtoa mada mbona unaendeshwa na ushabiki wa kijinga?
Unashangaa Russia kwenda kulinda aman ktk majimbo yake ya asili ila haushangai wala hukuandika pumba zako NATO walippoivamia Libya bila sababu, hao US si ndo waliivamia Iraq bila sababu ya msing wakisingizia story za kubumba za ugaid? Mbna haushangai?
Hao NATO si ndo wanaopleka madege mashark ya kati na kuua watu hovyo kwa ksisngzio cha kupambana na magaid ... hebu fiche ujinga wako
Russia hana jipya ambalo kwa Ukraine lina msaada. Haiombi undugu kwa Russia na huo ukweli unamuumiza Putin.Ukraine ikiachiwa ijiamulie mambo yake kama ambavyo unasema, itarejea katika ambitions zake za kujiunga na EU kuimarisha mahusiano ya kiuchumi, kisha watapeleka maombi ya kujiunga NATO kwa mara nyingine kama jinsi ambavyo nchi za ukanda wa Baltiki zilifanya. Baada ya hapo, tutarejea 'square one' tukijadili mgogoro huu.
USA wanajua wapige wapi ili wauumize uchumi wa Russia. Ni umafia unaoitwa economic espionage.Wamarekani/Wazungu hawana ubavu wa kuingia vitani na Warusi.
Sanasana watamwekea vikwazo vya kiuchumi tu na mwisho wataufyata.
After all Warusi hawawategemei sana Wamarekani/Wazungu.
Kwahiyo Warusi wameupiga mwingi.
Unaandika mavi tu.USA wanajua wapige wapi ili wauumize uchumi wa Russia. Ni umafia unaoitwa economic espionage.
Akheri yako wewe unayeandika vitu vya maana.Unaandika mavi tu.
kahawaKuna kipindi Putin alijifanya kichaa kwa Marekani enzi zile za Obama, wakauchezea mfumo wa ATM wa Russia ambao waliutengeneza wao wamarekani, warusi walichanganyikiwa.
We nae kwenye mziki Kuna mchango wa israel?Dunia inaangalia mchango wako ni upi. Substance ya kwako ni ipi. Myahudi anao mchango kuanzia masuala ya teknolojia mpaka yale ya muziki.
Kulialia tu na kulalamika ni sifa ya mwafrika, ambaye siku zote anahisi kuwa anaonewa, ukiwa na mchango katika uhai hutalia kuonewa, unachokichangia ndio kitakachokupa heshima.
Randy Newman, Paula Abdul, Bob Dylan kwa kuwataja wachache. Kina Zuckerberg wa facebook na whatsapp ni wayahudi.We nae kwenye mziki Kuna mchango wa israel?
Kwa taarifa yako, mtu mweusi ndye mwenye mchango mkubwa dunia nzima kwa kuprovide resources zinazotumika ktk hata hizo tecnolojia za anga,mawasialiano, usafirishaji, ulinzi, siraha, na ndizo hizo resources mnazoiba kijambazi afrika kupitia ma puppets mnaowapandikiza, ugaidi na mikataba ya kishenzi.
No Afrika, No lives
Nakazia mkuuMtoa mada kama hujui hizi zama zimebadilika, hakuna tena mambo ya 90 endeleeni kukaa na maumivu, halaf hamkuumia umoja wa ulaya ulipoenda kuuwa maelfu ya watu Libya bila ya sababu wapuuzi wakubwa nyie mnakuja kuumia Russia kurejesha majimbo yake ya asili ?
Huyu jamaa vipi kakazana wayahudi wayahudi what fuxxxxxxck leta hoja Yan mtu kaenda kwa mzazi mwenzake walokuwa wamefunga ndoa wew shemeji mtu yanakuhusu nn kuingiliaHao wayahudi wako bila mbeleko ya huyo tapeli marekani wana nini?!
Au na wewe ni mmoja wa wanaoamini kuwa hawa matapeli wanaojiita wayahudi ndilo lile tunalosoma kwenye Biblia kama taifa teule la Mungu?
Putin hiyo ndio field yake haswa.USA wanajua wapige wapi ili wauumize uchumi wa Russia. Ni umafia unaoitwa economic espionage.
Sasa masuala ya kimataifa kutofautiana yana uzito. Southern Ossetia na Abkhazia ilikuwa hivi, Crimea imekuwa annexed Russia wakawekewa vikwazo. Bado ukirudi kwenye chanzo chenyewe Ukraine haikufanya vizuri calculations za kuwa karibu na NATO, kina Poland waliwahi kipindi Russia haijatengamaa. Finland waliochelewa tena ambao USSR ilishawahi kuwavamia wakaamua kuwa neutral kwa sababu wanapakana na Russia. Ukraine ndio doorstep ya kuingia Russia alafu anataka NATO waweke bases zake. Mbona US hawezi kukubali bases za Russia kuwepo Venezuela au Cuba.Nipo mbezi beach Dar. Masuala ya kimataifa hutofautiana hata siku moja hayafanani.
Putin ndio tatizo lenyewe. Mbona Ukraine iliyoongozwa na kina Kuchma au Yanukovich ilikuwa na uhusiano mwema na Russia?.Sasa masuala ya kimataifa kutofautiana yana uzito. Southern Ossetia na Abkhazia ilikuwa hivi, Crimea imekuwa annexed Russia wakawekewa vikwazo. Bado ukirudi kwenye chanzo chenyewe Ukraine haikufanya vizuri calculations za kuwa karibu na NATO, kina Poland waliwahi kipindi Russia haijatengamaa. Finland waliochelewa tena ambao USSR ilishawahi kuwavamia wakaamua kuwa neutral kwa sababu wanapakana na Russia. Ukraine ndio doorstep ya kuingia Russia alafu anataka NATO waweke bases zake. Mbona US hawezi kukubali bases za Russia kuwepo Venezuela au Cuba.
Ushasema mambo ya kimataifa hutofautiana. Ndio tofauti zenyewe hizi