Kusini kuchele
Senior Member
- May 21, 2023
- 129
- 733
Mwaka wa uchaguzi huu, na baba mtu ni mgombea ubunge.Kama mi ndio Baba wa huyo binti, silisumbui jeshi la polisi. Ni kisasi tu.
Hao inatakiwa wapatikane kwa namna yoyote na wafirwe then mnawachoma moto na wao. Hii dunia haihitaji wema sana kwa hatua tuliyofikia. Sasa ji jino kwa jino.
Mkuu anagombea jimbo la wapi?Mwaka wa uchaguzi huu, na baba mtu ni mgombea ubunge.
Kwani haiwezi kuwa viceversa?
Haiwezi ikawa "Sympathy Seeking"?
Watake pesa tu ndiyo wauwe kwa kuchoma mtu visu na moto licha ya kutumiwa advance!!Nachojua wauwaji lazima watapatikana maana Tanzania tunao uwezo huo, walitaka pesa tu ni watekaji kama watekaji wengine
USSR
Mkuu anagombea jimbo la wapiMwaka wa uchaguzi huu, na baba mtu ni mgombea ubunge.
Kwani haiwezi kuwa viceversa?
Haiwezi ikawa "Sympathy Seeking"?
Alikuwa Mtia NIA sidhani kama aliteuliwa au La.Ni Dr.Hapo Mbeya.This shit might be very depp then we See...Mkuu anagombea jimbo la wapi?