Nilivyosikia tuu ni mtu wa CCM... Sikuendelea tena kufuatilia. CCM wanafurahia watanzania wakitekwa na kupotezwa dawa iwaingie vizuriKwa taarifa nilizoona Facebook ni mtoto wa mgombea ubunge kupitia CCM Mbeya mjini... Baba yake ni Doctor Mabula Michael mahandeView attachment 3475625
Wewe utakuwa umeanza kunijua jana saa nane usiku. Ni wapi ulishawahi nikuta nina sapoti au kutetea maswala ya CCM kuwa wanapatia?🤔 Au swali la msingi zaidi,huyo binti ni CCM au mjumbe wa kamati yoyote ya CCM? Au kwasababu baba yake umeona ni mtu wa CCM hapo? So mzazi wake kuwa CCM ina halalisha huyo binti kufanyiwa huo ukatili?🤔Lakini kwenye matukio yote ya utekaji unakuwa mkali hivi au ndio ikitokea CCM unapandwa na hasira? Nakumbuka Gwajima aligusia hiki kitu kwa kusema, vipi ikitokea kwa watoto wenu?
Mdude alichukuliwa mbele ya mke wake na watoto, kibao alichukuliwa ndani ya usafiri wa umma, matukio ni mengi hivyo tusichukulie kawaida yanapotokea apande mmoja na upande mwingine tikiona ndio muhimu zaidi.
Kama hauna ugeni na siasa za Afrika kwa ujumla utakuwa umeeleewa dukuduku langu.Unataka kusemaje? Kwamba uchaguzi una justify mauwaji na matendo ya hovyo,huo uhalali unatokea wapi,mbona kama unapitisha?
Mzee ningekuwa karibu yako saa hii ningekuwa nimeshakukunja shati unipe majibu kwanini unasema haya maneno. Nimekasirika hapa hata sijui naandika nini.
Kwa kutumia Polisi gani wa Malawi au?Nachojua wauwaji lazima watapatikana maana Tanzania tunao uwezo huo, walitaka pesa tu ni watekaji kama watekaji wengine
USSR
Ukiachilia mbali wamembaka sana kabla ya kumuua na kumchoma moto ili kupoteza ushahidi, usisahau Mbeya kulikua na wale jamaa wanachuna watu ngozi, usisahau Mbeya kulikua na wale jamaa wanapiga watu Nondo, kwa hio haijaanza jana wala juzi hua inapumzika tuMtoto wa watu amewakosea nini
Watapatikana ikiwa issue affiliated na watekaji na wauaji wengine kama waliompiga risasi Tundu, kinyume na hapo tutaona ujuzi wa polisi kupiga danadana Afu 3 kwa daki sekunde 10! Rest easy Shyrose, pole kwa Familia, ndugu, jamaa na marafiki!!Nachojua wauwaji lazima watapatikana maana Tanzania tunao uwezo huo,
Mmmmhmn mzee hii haiwezi kuwa kweli. Kwamba hili tukio nyuma yake ni kafara? Are you even serious?🤔Kama hauna ugeni na siasa za Afrika kwa ujumla utakuwa umeeleewa dukuduku langu.
Ningekuwa na mamlaka, ningeanza upelelezi wangu kwao na huyo binti kwanza, hasa baba mtu.
Mwaka wa uchaguzi makafara huwa mengi sana.
Ni dukuduku tu, human nature.
Kula Nauli za Wanaume auShyrose alitekwa siku ya Jumamosi na watu wasiojulikana na wakaanza kumpigia Baba yake simu kumuomba Pesa ili wamuachie huru huku wakimtumia Video fupi wakimuonesha wanavyomtesa.
Baada ya kupata Video hizo Baba Mzazi Dkt. Mabula Mahande alituma kiasi kidogo cha pesa ili Mwanae asiumizwe lakini baada ya Muda Mwili wa Shyrose ukapatikana akiwa amechomwa moto lakini pia akiwa amechomwa Visu Mgongoni.
Shyrose alianza Elimu yake ya Chuo cha Tumaini, Arusha ambapo alikuwa anasomea Shahada ya Sheria lakini kutokana na Matatizo ya kiafya ilibidi ahame akasome Chuo karibu na nyumbani ambapo alihamia Chuo kikuu cha Mzumbe Tawi la Mbeya, Hapa alianza Mwaka wa Kwanza na mpaka Umauti unamkuta 😢💔
Shyrose amefariki akiwa na umri wa Miaka 21 tuu, too young 😭
Msiba upo Nyumbani kwao Mbeya, Uzunguni karibu na Desderia Hotel na kwa Taarifa za awali kuzika ni Jumamosi ila Mahali pa Kuzika bado hapajakuwa-confirmed
View attachment 3475619
Kiukweli ni muhimu uchunguzi ufanyike majibu yapatikane.Ukiachilia mbali wamembaka sana kabla ya kumuua na kumchoma moto ili kupoteza ushahidi, usisahau Mbeya kulikua na wale jamaa wanachuna watu ngozi, usisahau Mbeya kulikua na wale jamaa wanapiga watu Nondo, kwa hio haijaanza jana wala juzi hua inapumzika tu
Definitely hizi zinaweza kuwa motivation ya huu uharamia,why mtu arukie mtoto wa mtu na kumuua hivi kikatili?🤔Kula Nauli za Wanaume au
Mzazi wake katapel watu
But muhimu sana kucontrol hasira maana unaweza jikuta umepita hata na ambao walimuona siku ya tukio na hawakumwambia aende home badala ya kwenda mazingira hatarishi.Ningekua her brother i would spend every minutes in this green earth to make sure kila aliyehusika analipa alichokifanya hio ingekua my purpose regardless the outcome until ningepata inner peace.
Kuna wale wa Moshi na Arusha matukio kama matatu ya namna hii hajawahi kuripotiwa mrejesho wake hadi leo.Wasiojulikana wakipiga tukio hilo limeisha, labda kama walidakwa kwenye video basi itawalazimu waconfirm kwenye page yao.
Ila kama hawajahusika watasolve hii case fasta sana.
Pole tena kwa familia na ndugu wa karibu wa huyo binti. Nikiwa Morogoro tukio kama hili lilitokea ila yule binti hakuchomwa moto. Sijui hata kama haki yake yule binti alipata.
Mhhh wewe lete watu si mtu. Watu hufa kwa sababu mbalimbali. Wale waliopigana vita ya kwanza ya dunia waliobaki kama wapo ni wa kuhesabu. So ni kawaida na faida ni nyingi za kuleta watu kuliko kutokuleta.Ndo maana kuna muda nawaza kutokuleta mtu kwenye this shitty earth and its getting shittier every day.....
pole kwa wafiwa.