Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Mzee wake atakua anajua zaidi maana nae sio mtu mdogo hapo Mbeya.
RIP shyroseShyrose alitekwa siku ya Jumamosi na watu wasiojulikana na wakaanza kumpigia Baba yake simu kumuomba Pesa ili wamuachie huru huku wakimtumia Video fupi wakimuonesha wanavyomtesa.
Baada ya kupata Video hizo Baba Mzazi Dkt. Mabula Mahande alituma kiasi kidogo cha pesa ili Mwanae asiumizwe lakini baada ya Muda Mwili wa Shyrose ukapatikana akiwa amechomwa moto lakini pia akiwa amechomwa Visu Mgongoni.
Shyrose alianza Elimu yake ya Chuo cha Tumaini, Arusha ambapo alikuwa anasomea Shahada ya Sheria lakini kutokana na Matatizo ya kiafya ilibidi ahame akasome Chuo karibu na nyumbani ambapo alihamia Chuo kikuu cha Mzumbe Tawi la Mbeya, Hapa alianza Mwaka wa Kwanza na mpaka Umauti unamkuta 😢💔
Shyrose amefariki akiwa na umri wa Miaka 21 tuu, too young 😭
Msiba upo Nyumbani kwao Mbeya, Uzunguni karibu na Desderia Hotel na kwa Taarifa za awali kuzika ni Jumamosi ila Mahali pa Kuzika bado hapajakuwa-confirmed
View attachment 3475619
Watapatikana vipi? Hivi katika hali ya kawaida hao unahisi ni watu wenye hata wazazi na familia ?Nachojua wauwaji lazima watapatikana maana Tanzania tunao uwezo huo, walitaka pesa tu ni watekaji kama watekaji wengine
USSR
Mzee kuna shida somewhere huu ukimya sio kitu cha kawaida. Usalama wa taifa na jeshi la Polisi kwasasa naona lipo completely compromised.Hii habari ilipaswa iwe kubwa sana.
Lakini ni kama hakuna kilichotokea.
Tumefika hapa kwa sababu ya mamlaka kupuuzia mambo ya utekaji, anatekwa mtu kisha mamlaka zinasema amejiteka.
Mtu anashushwa kwenye bus mchana, kesho yake anapatikana amekufa, mamlaka zinatoka na kusema "Kifo ni Kifo tu".
Ndiyo maana hata hili ni kama halijawashtua watu.
Hapa nasoma hadi mwili unatetemeka kwa jazba na hasira. Najaribu kuwazia kaka,baba,wajomba na baba wakubwa na wadogo wa huyu binti kwasasa wapo katika hali gani.Kama mi ndio Baba wa huyo binti, silisumbui jeshi la polisi. Ni kisasi tu.
Hao inatakiwa wapatikane kwa namna yoyote na wafirwe then mnawachoma moto na wao. Hii dunia haihitaji wema sana kwa hatua tuliyofikia. Sasa ji jino kwa jino.
Unataka kusemaje? Kwamba uchaguzi una justify mauwaji na matendo ya hovyo,huo uhalali unatokea wapi,mbona kama unapitisha?Mwaka wa uchaguzi huu, na baba mtu ni mgombea ubunge.
Kwani haiwezi kuwa viceversa?
Haiwezi ikawa "Sympathy Seeking"?
Najiuliza hiyo confidence ya kufanya hivyo wametoa wapi na ni akina nani hawa, watanzania hatunaga hizi tabia aisee.Watu wamepiga simu,wakatuma video WhatsApp na wakatumiwa pesa ila mpaka sasa hawajakamatwa!!
Wanataka pesa ni zao sasa,ukiona hadi mtu anafika hatua ya kufanya upumbavu wa namna hii it means hana akili sawa sawa.Watake pesa tu ndiyo wauwe kwa kuchoma mtu visu na moto licha ya kutumiwa advance!!
Ni ransom sio Ramson.Ramsons
Kama mi ndio Baba wa huyo binti, silisumbui jeshi la polisi. Ni kisasi tu.
Hao inatakiwa wapatikane kwa namna yoyote na wafirwe then mnawachoma moto na wao. Hii dunia haihitaji wema sana kwa hatua tuliyofikia. Sasa ji jino kwa jino.
Lakini kwenye matukio yote ya utekaji unakuwa mkali hivi au ndio ikitokea CCM unapandwa na hasira? Nakumbuka Gwajima aligusia hiki kitu kwa kusema, vipi ikitokea kwa watoto wenu?Unataka kusemaje? Kwamba uchaguzi una justify mauwaji na matendo ya hovyo,huo uhalali unatokea wapi,mbona kama unapitisha?
Mzee ningekuwa karibu yako saa hii ningekuwa nimeshakukunja shati unipe majibu kwanini unasema haya maneno. Nimekasirika hapa hata sijui naandika nini.
yaani ni ufala grade A,Watu wamepiga simu,wakatuma video WhatsApp na wakatumiwa pesa ila mpaka sasa hawajakamatwa!!
Haiwezi kua haraka hivyo ila watashikwaWatu wamepiga simu,wakatuma video WhatsApp na wakatumiwa pesa ila mpaka sasa hawajakamatwa!!
Mh sio kweli,watu wengi wameuwawa na wauji hawajapatikana.......Tanzania hatuna uwezo huoNachojua wauwaji lazima watapatikana maana Tanzania tunao uwezo huo, walitaka pesa tu ni watekaji kama watekaji wengine
USSR
Uwezo upo sema wakitekwa watu wa CHADEMA au watetezi wa wananchi ndio hatua hazichukuliwiMh sio kweli,watu wengi wameuwawa na wauji hawajapatikana.......Tanzania hatuna uwezo huo